Kuna uhusiano gani kati ya CHADEMA na Gwajima?

Katika wiki za karibuni kumekuwa na ushirika mkubwa sana kati ya Chadema na wafuasi wake wakishirikiana na Gwajima.Naam nimeshuhudia kwa wingi wa kutosha viongozi na wafuasi wa Chadema wakiwa washabiki wakubwa kuhudhuria ibada katika kanisa la "ufufuo na uzima" linalomilikiwa na Gwajama aka mzee wa misukule.

Je wote wameamua kudhoofisha vita dhidi ya mihadarati? au kanisa la Gwajima ni tawi la Chadema?...au?...au????

Wenye ujuvi wa mambo tupeni elimu
Mshenga (in Slaa voice)
 
Uhusiano wa Nyumbu na Mzee wa Misukule ni poda. We angalia akili na Maneno ya Gwajima alafu akili za Chadema kama si pods ni nn , huyu Mzee kawafayatua nati kichwani
Wengi wanaishia kutukana badala ya kujenga hoja
 
Back
Top Bottom