Kuna uhusiano gani kati ya CHADEMA na Gwajima?

Umeshasema Mzee wa misukule,wafuasi wa chadema ni zaidi ya misukule.Anawatumia misukule ya chadema kulitangaza kanisa lake na kuongeza kipato kupitia sadaka.
Misukule iliambiwa Jana kuna vyeti vya makonda na wazee kutoka kijiini kwa Makonda,wakajaa kama mechi ya Simba na yanga.Hakuna vyeti wala wazee misukule hata thread ya kulaani kutapeliwa imeshindwa kufungua kwa aibu
 
Katika wiki za karibuni kumekuwa na ushirika mkubwa sana kati ya Chadema na wafuasi wake wakishirikiana na Gwajima.Naam nimeshuhudia kwa wingi wa kutosha viongozi na wafuasi wa Chadema wakiwa washabiki wakubwa kuhudhuria ibada katika kanisa la "ufufuo na uzima" linalomilikiwa na Gwajama aka mzee wa misukule.

Je wote wameamua kudhoofisha vita dhidi ya mihadarati? au kanisa la Gwajima ni tawi la Chadema?...au?...au????

Wenye ujuvi wa mambo tupeni elimu
Usiwapangie watu sehemu ya kusali, hamia tu chadema maana si kwa mahaba hayo. Kila siku chadema chadema chadema, pilipili ya shamba yakuwashia nini? We unaonekana huwa unaenda mpaka kuonja chumvi kwenye chakula cha jirani...
Fanya yako achana na mambo ya watu
[HASHTAG]#hapavyetitu[/HASHTAG]
 
mbunge wa viti maalum CCM umepata kichaa gafla,

vita dhidi ya madawa ya kulevya inasimamiwa na Kamisha Siang'a na swala la vyeti feki linamuhusu Bashite sasa wewe JS unachanganya maharage na makokoto sehemu moja.
 
Wewe na Bashite Hamna tofauti! Ndio maana uwezo wako wa kufikiri umekaa kibashite bashite
 
Uhusiano wao ni wa kufuta udikteta wa konda
Uhusiano wa Nyumbu na Mzee wa Misukule ni poda. We angalia akili na Maneno ya Gwajima alafu akili za Chadema kama si pods ni nn , huyu Mzee kawafayatua nati kichwani
 
walikuwa na uhusiano mzuri kipindi cha kampeni...waliposhindwa akawaruka...nadhani atawaruka tena
 
CHADEMA ni chama cha siasa na GWAJIMA ni askofu wa kanisa la ufufuo na uzima...hvy hamna uhusiano wowote kati ya chama cha siasa na kiongozi wa dini
 
Back
Top Bottom