Kuna uhusiano gani kati ya CHADEMA na Gwajima?

Wewe ni mchochez hicho ndicho ninacho kiona kwako.

~Chadema walitengewa kanisa?mbona unaleta ubaguz wako hapa tz?

~Au ni wanyama hawatakiwi kuchangamana?kwann uwatilie mashaka kuhusu maamuz yao ya kusali?

~Hivi wangeingia msikitini uzi huu ungeuandika kwa namana ipi?kwa nn ww unauchochez?

~Kabla ya kuja hapa ungesoma kwanza katiba ya nchi uone namna uhuru wa kuabudu,kuchagua din,nk
~Hao chadema wangeingia EAGT,TAG na FPCT ungesemaje.

~FIKIRI KABLA YA KUTENDA.
Huyu jamaa labda alipewa kazi ya kuandika majina na vyama wanavyotoka waumini wote wanaohudhuria ibada kwa Gwajima. Ndio maana akaona wengi ni wanachama na viongozi wa CDM.
 
Naona Lumumba wamejipanga vizuri. Mwenzao hata akipost utumbo, wanapeana taarifa kuwa already there is a thred, wanachangia wenyewe ili ionekana people have interest in the thread!
Acha jazba dogo,jenga hoja bila kupanik
 
Mkuu hisia zako tu
Labda ni hisia zangu. Je wewe mkuu sio hisia zako tu kuona watu wanaenda kwenye ibada na kuanza kufikiria mambo ambayo huwezi kuyathibitisha? Wakudadavua siku hizi hoja zako nyepesi mno sijui nini kimekupata. Umechepuka, rudi kwenye hoja za kufikirisha. Hizi za umbea achana nazo.
 
Tatizo lako ni kuchanganya mambo,Jielekeze kwenye hoja
Ha ha ha haaa ... yani leo nimeamini humu ndani kuna watu hawajielewi wanafanya nini ...

Sasa mimi nimechanganya kitugani Kaka sijui Dada utajua mwenyewe huko ...

Kwani wewe kwenye uzi wako umeelekeza hoja gani zaidi ya kuuliza swali ambalo nimekujibu au?

Au ulitakaje? Mzima kweli wewe?
 
Katika wiki za karibuni kumekuwa na ushirika mkubwa sana kati ya Chadema na wafuasi wake wakishirikiana na Gwajima.Naam nimeshuhudia kwa wingi wa kutosha viongozi na wafuasi wa Chadema wakiwa washabiki wakubwa kuhudhuria ibada katika kanisa la "ufufuo na uzima" linalomilikiwa na Gwajama aka mzee wa misukule.

Je wote wameamua kudhoofisha vita dhidi ya mihadarati? au kanisa la Gwajima ni tawi la Chadema?...au?...au????

Wenye ujuvi wa mambo tupeni elimu
Kuna uhusiano gani kati ya Polisi na CCM ?
 
Back
Top Bottom