Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Katika wiki za karibuni kumekuwa na ushirika mkubwa sana kati ya Chadema na wafuasi wake wakishirikiana na Gwajima.Naam nimeshuhudia kwa wingi wa kutosha viongozi na wafuasi wa Chadema wakiwa washabiki wakubwa kuhudhuria ibada katika kanisa la "ufufuo na uzima" linalomilikiwa na Gwajama aka mzee wa misukule.
Je wote wameamua kudhoofisha vita dhidi ya mihadarati? au kanisa la Gwajima ni tawi la Chadema?...au?...au????
Wenye ujuvi wa mambo tupeni elimu
Je wote wameamua kudhoofisha vita dhidi ya mihadarati? au kanisa la Gwajima ni tawi la Chadema?...au?...au????
Wenye ujuvi wa mambo tupeni elimu