Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,550
- 46,092
Masaki bahati mbaya au Buza bahati mbaya.Unawazungumziaje ambao wamezaliwa Masaki lakini wameishia kua na kabati la mtu wa Buza na waliozaliwa Buza ila wameishia kua na kabati la mtu wa Masaki?
Masaki bahati mbaya au Buza bahati mbaya.Unawazungumziaje ambao wamezaliwa Masaki lakini wameishia kua na kabati la mtu wa Buza na waliozaliwa Buza ila wameishia kua na kabati la mtu wa Masaki?
Nitafanya hivyo mkuuKasome kitabu Cha Ben Carson kinaitwa maajabu ya mikono yangu (heading inaendana hivyo hivyo km ntakua nimeikosea itakua ni kidogo coz nilikisoma zaman 2014),mi nilosoma Cha kiswahili kilitafsiriwa kutoka kwny kiingereza nilikikuta home,utajifunza vitu vingi mle kuhusiana na malez na Iq,coz mwanzo dokta Ben Carson alidhaniwaga kuwa na bogus na alipitia fedheha kubwa utoton kwa kudhaniwa mjinga mpaka alipokuja kubadili mtazamo akisaidiwa na mamaake ,akaanza kutumia muda mwing kujisomea,kushinda library kusoma,akaacha kuangalia tv,mpaka akawa best student kutoka kuwa mtoto wa mwisho darasan mpaka kuwa best,na hatimaye akaja kuwa daktar bingwa nchini Marekan na dunian na ndie dokta wa Kwanza(black America)aliefanikiwa kufanya operation kubwa yakuwatenganisha mapacha waloungana vichwa bila athar yeyote,nasisitiza soma kitabu hicho
Kama ndohivo je wazaz wanakua hawajui au? Mara nying wazaz wanapenda wana wao wawe na akili lkn malez zeroHapo nafkiri malezi Yana mchango wake katika kumtengeneza mtoto basing on his or her intelligence lakin don't forget baadhi ya watoto kabla hata ya hayo malezi huzaliwa either wanakuwa gifted manake wanakuwa na high ability or wanakuwa vice versa.
Akili ni matokeo output(unachokitoa)Habari wakuu!
Huwa nimekuwa ni mwenye kujiuliza sana hili swali
Mara nyingi utakuta familia zenye malezi na maadili mazuri watot wao huwa bright sana na kinyume chake familia zenye uswahili mwing (hususa maeneo ya uswazi) pia mara nying watot nao huwa zero iq
Je kuna uhusiano gani kati ya u-intelligance wa mtot na malez?
Jamiiforums home of great thinkersView attachment 1928990
Tutadefine kaili endapo mtu atafanya jambo la kushangaza mtu mwingine,hiyo ndio akili.Tunaomba u define kwanza akili ni nini? Kisha u define malezi ni nini?
Je vitendo atakavyovifanya mtot ni matokeo ya akili au malez?Akili ni matokeo output(unachokitoa)
Malezi ni input (unachokiingiza).
Hatuwezi kudefine mtu kama ana akili ilhali yupo tu kitandani amelala
Tutadefine kaili endapo mtu atafanya jambo la kushangaza mtu mwingine,hiyo ndio akili.
Akili bila matokeo hatuwezi kujua kama mtu ana akili au hana.
Na malezi ni vile mtoto anaona kitu,au anasikia kitu katika jamii inayomzunguka.
Malezi ni kila anachokiona mtoto au anachokisikia kwa kuambiwa ama asiambiwe,hayo ndio malezi.
Mkuu tusaidie kiitabu hiko kama unnayo pdf.Kasome kitabu Cha Ben Carson kinaitwa maajabu ya mikono yangu (heading inaendana hivyo hivyo km ntakua nimeikosea itakua ni kidogo coz nilikisoma zaman 2014),mi nilosoma Cha kiswahili kilitafsiriwa kutoka kwny kiingereza nilikikuta home,utajifunza vitu vingi mle kuhusiana na malez na Iq,coz mwanzo dokta Ben Carson alidhaniwaga kuwa na bogus na alipitia fedheha kubwa utoton kwa kudhaniwa mjinga mpaka alipokuja kubadili mtazamo akisaidiwa na mamaake ,akaanza kutumia muda mwing kujisomea,kushinda library kusoma,akaacha kuangalia tv,mpaka akawa best student kutoka kuwa mtoto wa mwisho darasan mpaka kuwa best,na hatimaye akaja kuwa daktar bingwa nchini Marekan na dunian na ndie dokta wa Kwanza(black America)aliefanikiwa kufanya operation kubwa yakuwatenganisha mapacha waloungana vichwa bila athar yeyote,nasisitiza soma kitabu hicho
Akili ni matokeo.Je vitendo atakavyovifanya mtot ni matokeo ya akili au malez?
Nimekupata mkuu japo kuna maswali mengi huzukaAkili ni matokeo.
Kwa hiyo ukiuliza vitendo ni matokeo ya akili au malezi ni sawa na kuuliza vitendo ni matokeo ya matokeo(akili) kwa sababu akili tumeshaona kwamba kwa ninavyoona akili ni matokeo.
Hivyo kitendo cha mtoto ndio akili yenyewe kwa sababu kitendo ni matokeo ama kitu ambacho tunaweza kukiona ama kukisikia.
Sasa basi tujiulize tu nini hupelekea akili au matokeo au vitendo kwa mtoto ?
Kitu gani hupelekea mtoto afanye vitendo ?
Hapo ndio malezi nayo huchagia sasa.
Angalia kwenye kamusi mkuu sio kila kitu mtu atafafanua.Tunaomba u define kwanza akili ni nini? Kisha u define malezi ni nini?
ndio tuanze kujadili ili uelewe tutakachokufafanulia
Binafsi nilishasema kwamba akili ni matokeo.Mfano mtot atumiae bangi (kwasababu hakulelewa malez mazur) je akili hana?
Akili naayo ndio maana anafanya matendo ya kuvuta bangi.je akili hana?
Kujua kwamba kitu unachofanya hakifai hilo ni jambo moja,na kuwa na uwezo wa kuacha jambo hilo hilo ni jambo jingine kabisa.hiv ni kwel hajui kama bangi haifai?
Nimekupata vzur mkuu ahsanteBinafsi nilishasema kwamba akili ni matokeo.
Na katika matokeo kuna matokeo mazuri na matokeo mabaya.
Hivyo mtoto akifanya matendo ambayo jamii inatafsiri kama mabaya tunasema kwamba haya matokeo yake ya kuvuta bangi yanatafsiriwa vibaya na jamii.
Hivyo tunasema akili yake au matokeo yake ni mabaya.
Hivyo hauwezi kusema hana akili wakati matendo anayafanya.
Akili kubwa lazima ifanye mambo makubwa katika jamii.
Akili mbovu lazima ifanye mambo mabovu katika jamii.
Hivyo ni makosa kusema mtu fulani akili hana,maadamu anafanya matendo basi akili anazo hapo linabaki suala la kwamba akili zake ni nzuri au mbaya kwa mujibu wa jamii husika.
Akili naayo ndio maana anafanya matendo ya kuvuta bangi.
Kujua kwamba kitu unachofanya hakifai hilo ni jambo moja,na kuwa na uwezo wa kuacha jambo hilo hilo ni jambo jingine kabisa.
Wapo makahaba wanajua ukahaba haufai lakini wanashindwa kuacha kutokana na sababu mbalimbali.
Hivyo inawezekana akajua bangi haifai lakini asiweze kujizuia akaacha hilo jambo.
Kipimo cha akili kubwa ni kufanya mambo makubwa ambayo watu wengi kama wewe wamgeshindwa kufanya.Nimekupata vzur mkuu ahsante
Ila kipi kipimo cha akili kubwa mkuu
Sijui wenzangu mnaelewa nini kuhusu akili.Habari wakuu!
Huwa nimekuwa ni mwenye kujiuliza sana hili swali
Mara nyingi utakuta familia zenye malezi na maadili mazuri watot wao huwa bright sana na kinyume chake familia zenye uswahili mwing (hususa maeneo ya uswazi) pia mara nying watot nao huwa zero iq
Je kuna uhusiano gani kati ya u-intelligance wa mtot na malez?
Jamiiforums home of great thinkersView attachment 1928990
Kabisa yani!🤔🤔
Sasa wew si ulikuwa wa kishua na wew ungempiga tafu
Wacha wee!👣👣Mtazamo wako unaweza kuwa sawa, But not it At all!
Ifahamike kuwa mtoto anarithi 70% ya uwezo wake kichwani kutoka kwa mama, ndio sababu familia ambazo mke ni msomi au anatoka familia ya wasomi wengi, utakuta watoto wake wengi pia kichwani wapo fit!
Familia hata kama ina maelezi bora kiasi gani, lakini kama watoto kichwani ni mburura, wataishia tu kuwa wapole na wenye nidhamu, lakini pia huja kukorofisha pa hovyo huko mbele!
Isipokuwa kama mtoto kwa asili i intelligent, hata akipita kweye malezi mabaya, mwishoi huja kujicotroll na anakuwa sawa!
Kua familia imeishi ayo jirai, walikuwa wakristu wacha Mungu watoto karibu wote walitolea kwenye utumishi kanisani, lakini ni mmoja tu alibahatika kufaulu la saba na kisha akapata kazi ya ualimu nayo kwa kufoji vyeti ambapo alitimuliwa mwaka 2017! Hawa walikuwa na mlezi mazuri lakini kichwani wakawa hawana kitu!
Pia kuna familia nyingine walilelewa hovyo sana, hadi mama anawashonea watoto mitindo ya nguo za kikahaba na wale wakiume anawapa mtoto pesa ya kwenda kutongozea wasichana, Lakini walishakuwa watu wazima, wakike wameolewa kwa harusi na wana ajira za serikali na wametulia fresh kabisa wana maisha yao mjini!
Habari wakuu!
Huwa nimekuwa ni mwenye kujiuliza sana hili swali
Mara nyingi utakuta familia zenye malezi na maadili mazuri watot wao huwa bright sana na kinyume chake familia zenye uswahili mwing (hususa maeneo ya uswazi) pia mara nying watot nao huwa zero iq
Je kuna uhusiano gani kati ya u-intelligance wa mtot na malez?
Jamiiforums home of great thinkersView attachment 1928990