Kuna uhusiano gani kati ya akili na malezi?

Alafu pia mkuu nachojaribu kuonyesha nikwamba wakati mwingine watoto wa maskini wanakuaga na uwezo mkubwa Sana Darasani hivyo Mungu hakunyimi vyote,wangapi hata Hawa mawaziri unaowaona wengi wao ukifuatilia utakuta wametoka ktk familia za kimaskini ila Elimu ilikuja ikawakwamua
Pw nimekupata mkuu
 
Akili ni sponchi likiwekwa kwenye fluid litanyonya, ukilikamuwa litatoa hiyohiyo fluid.
Mfano, mtoto wa miaka mitatu anayeongea maneno 10, tisa ni matusi, hayo ni malezi, dini zote ni matokeo ya malezi, kiwango cha akili ya mtoto itajijenga kimalezi!
Nakubali kabisa ila kuna exception
 
Kuna kitu najaribu kukumbuka nafikiri swali lako ni tata as in neno akili nikijaribu kulipeleka katika saikolojia sipati uhusiano wa malezi na akili. Badala yake malezi yana mchango katika cognitive development.

Plan Paris ametoa mfano wa makabati (amedrift wide mno) Lakini katika saikolojia tunakubaliana ya kwamba hakuna mstari mnyoofu wa kwamba kwakua upo Masaki na utaenda Day care basi you are destined kua BoT na kabati lako kujaza vitu vizuri.

So alichofanya ni logical fallacy.

Nimesahau vingi vya darasani ila nitajitahidi kuandika ninachokumbuka.

- Malezi ya mtoto yanakua na positives kama atakuepo baba na mama na mtoto akafeel uwepo wa wote katika makuzi yake. Tangu utoto wake mtoto akiwa anaexperience abuse (Sexual, Physical) itadumaza cognitive development.

In some cases huyu mtoto atakuja kua bully, mhalifu, rapist, muuaji n.k.

- Kuna steps tatu mtoto anatakiwa kuzipitia, Id, Ego na nyingine nimesahau. Kuiruka stage yoyote hapo kuna some effects zitaonekana mfano atakua mnyonya kidole (hii husababisha akiwa mkubwa avute sigara kama compensation ya kidole) atachelewa kuongea, atakua anajikojolea kitandani n.k.

- Step nyingine ambayo mtoto anatakiwa kupita ni oedipus complex kwa mtoto wa kiume na electra complex kwa mtoto wa kike. Oedipus ni hali ya mtoto wa kiume kuona baba yake ni rival katika kuwin upendo wa mama. Electra ni hali ya mtoto wa kike kuona mama yake ni rival katika kuwin upendo wa baba. Kutopitia hii step ni mtoto kua tegemezi n.k.

So kama umenotice malezi katika msingi wake hakuna sehemu inasema inatakiwa uwe Masaki au Buza. Lakini swali linakuja "Mazingira yana mchango katika cognitive development?" Jibu ni "Ndiyo" na hapa sasa huu mfano wa jamaa wa Masaki unaweza kuingia ila siyo kwa 100%

And am simply saying malezi yana nafasi yake katika cognitive development na mazingira yana nafasi yake katika cognitive ability. Hizi ni ishu mbili tofauti ndiyo maana nikasema Plan Paris amedrift wide mno.

Mi nimechoka njaa inauma.

Ahsante mkuu, Ila umenifurahisha hapo njaa inauma
 
Mtazamo wako unaweza kuwa sawa, But not it At all!
Ifahamike kuwa mtoto anarithi 70% ya uwezo wake kichwani kutoka kwa mama, ndio sababu familia ambazo mke ni msomi au anatoka familia ya wasomi wengi, utakuta watoto wake wengi pia kichwani wapo fit!
Familia hata kama ina maelezi bora kiasi gani, lakini kama watoto kichwani ni mburura, wataishia tu kuwa wapole na wenye nidhamu, lakini pia huja kukorofisha pa hovyo huko mbele!
Isipokuwa kama mtoto kwa asili i intelligent, hata akipita kweye malezi mabaya, mwishoi huja kujicotroll na anakuwa sawa!
Kua familia imeishi ayo jirai, walikuwa wakristu wacha Mungu watoto karibu wote walitolea kwenye utumishi kanisani, lakini ni mmoja tu alibahatika kufaulu la saba na kisha akapata kazi ya ualimu nayo kwa kufoji vyeti ambapo alitimuliwa mwaka 2017! Hawa walikuwa na mlezi mazuri lakini kichwani wakawa hawana kitu!
Pia kuna familia nyingine walilelewa hovyo sana, hadi mama anawashonea watoto mitindo ya nguo za kikahaba na wale wakiume anawapa mtoto pesa ya kwenda kutongozea wasichana, Lakini walishakuwa watu wazima, wakike wameolewa kwa harusi na wana ajira za serikali na wametulia fresh kabisa wana maisha yao mjini!
Bila ya shaka haipingani na ukweli
 
Ni kwamba Akili inaanzia kwenye DNA, inakuja kwenye malezi kuanzia mtoto mchanga hadi anakua. Mfano mimi mwanangu wa mwaka mmoja ukimpa Simu anaweka Sikioni na kusema hallow ukimpa Rimot anaelekeza kwenye TV kwahyo mtoto anaelewa mapema sana na mazingira anayoishi yanamsaidia kuelewa hiki ni nini na kile ni nini.

Kwahyo akili ya mtoto anaelelewa kiheshima na mtoto anaelelewa bora liende ni watu wawili tofauti
 
Kuna kitu najaribu kukumbuka nafikiri swali lako ni tata as in neno akili nikijaribu kulipeleka katika saikolojia sipati uhusiano wa malezi na akili. Badala yake malezi yana mchango katika cognitive development.

Plan Paris ametoa mfano wa makabati (amedrift wide mno) Lakini katika saikolojia tunakubaliana ya kwamba hakuna mstari mnyoofu wa kwamba kwakua upo Masaki na utaenda Day care basi you are destined kua BoT na kabati lako kujaza vitu vizuri.

So alichofanya ni logical fallacy.

Nimesahau vingi vya darasani ila nitajitahidi kuandika ninachokumbuka.

- Malezi ya mtoto yanakua na positives kama atakuepo baba na mama na mtoto akafeel uwepo wa wote katika makuzi yake. Tangu utoto wake mtoto akiwa anaexperience abuse (Sexual, Physical) itadumaza cognitive development.

In some cases huyu mtoto atakuja kua bully, mhalifu, rapist, muuaji n.k.

- Kuna steps tatu mtoto anatakiwa kuzipitia, Id, Ego na nyingine nimesahau. Kuiruka stage yoyote hapo kuna some effects zitaonekana mfano atakua mnyonya kidole (hii husababisha akiwa mkubwa avute sigara kama compensation ya kidole) atachelewa kuongea, atakua anajikojolea kitandani n.k.

- Step nyingine ambayo mtoto anatakiwa kupita ni oedipus complex kwa mtoto wa kiume na electra complex kwa mtoto wa kike. Oedipus ni hali ya mtoto wa kiume kuona baba yake ni rival katika kuwin upendo wa mama. Electra ni hali ya mtoto wa kike kuona mama yake ni rival katika kuwin upendo wa baba. Kutopitia hii step ni mtoto kua tegemezi n.k.

So kama umenotice malezi katika msingi wake hakuna sehemu inasema inatakiwa uwe Masaki au Buza. Lakini swali linakuja "Mazingira yana mchango katika cognitive development?" Jibu ni "Ndiyo" na hapa sasa huu mfano wa jamaa wa Masaki unaweza kuingia ila siyo kwa 100%

And am simply saying malezi yana nafasi yake katika cognitive development na mazingira yana nafasi yake katika cognitive ability. Hizi ni ishu mbili tofauti ndiyo maana nikasema Plan Paris amedrift wide mno.

Mi nimechoka njaa inauma.
😄😄😄😄😄😄😄😄

Mkuu nimecheka sana ulivyosema njaa inauma umechoka kuandika, ujue sisi vijana tusiokuwa na ajira tunapitia mengi kuna wakati unaona uvivu kumuelewesha mtu unaamua kumjibu short short.

Nilifikilia nitamuelewashaje mleta mada nkaona njia nzuri ni kutumia mifano iliyozoeleka ya makabati kama kiwakilishi cha ubongo, pia nkaamua kutumia neno MASAKI na BUZA kama kiwakilishi cha mazingira mtu anayotokea

Umezungumzia issue za IDD, EGO na SUPEREGO za bwana Freid Sigmund za karne ya 17 huko kama sikosei, hapo ni alikuwa anajaribu kuelezea behaviours za ukuaji wa binadamu,

Lakini hizo zilishapitwa na wakati now tupo kwenye zama zingine za neuroscience, huwezi kupredict behaviour za binadamu bila kujua inner physiological process ya ubongo

Psychology ni study of behaviours, hivyo basi huwezi kustudy effects bila kustudy cause of effects, behaviour ni effects

Ndio maana Neuroscience ni zaidi ya PSYCHOLOGY.
 
Uko vizuri
 
Nimesoma na neuroscience pia katika mchango wake kwenye cognitive development na bado haisemi kwamba mazingira yatadetermine utaangukia wapi. One thing kinakubalika kote kote ni kwamba Malezi ni ishu tofauti na mazingira ni ishu tofauti.

Anyway, ishu za darasani nimezisahau ni za muda mrefu na sijioni nikipekua references considering hapa silipwi.
 
Mkuu hapa tunachofanya ni ku unganisha knowledge kuwa kitu kimoja yaani umaunganisha psychology neuroscience sociology n.k kupata full understanding
 
Akili za watoto kwa asilimia kubwa ni kurithi. Hao unaosema wamepata malezi bora ni kwasababu wazazi wao walienda shule na Kama walienda shule manake walikua na uwezo class. Wazazi wengi wa uswahilini walikua vichwamaji darasan na watoto pia wamerithi Ila Kuna wazaz wachache uswahilini waliokosa elim kwasabab mbalimbali Ila wana akili hata watoto wao pia wana akili.

Mtoto mwenye akili hata umuweke kwa kundi gan anauwezo wa kushinda tabia za group lake. Yan class mnaweza kuta kundi moja la masera, wahuni, wavutabangi na wapendamademu na starehe Ila Kuna watoto katika kundi hilohilo anaongoza darasani. Utakuta anasoma kwa muda mfupi Ila anaelewa Sana.

Mtoto mjinga darasan ni mzigo hata umleaje kwa darasan ni mzigo tu Ila uzuri maisha sio darasan tu, anawezafanya Mambo mengine akafanikiwa kuliko aliyeenda shule
 
Ni kwamba Akili inaanzia kwenye DNA, inakuja kwenye malezi kuanzia mtoto mchanga hadi anakua. Mfano mimi mwanangu wa mwaka mmoja ukimpa Simu anaweka Sikioni na kusema hallow ukimpa Rimot anaelekeza kwenye TV kwahyo mtoto anaelewa mapema sana na mazingira anayoishi yanamsaidia kuelewa hiki ni nini na kile ni nini.

Kwahyo akili ya mtoto anaelelewa kiheshima na mtoto anaelelewa bora liende ni watu wawili tofauti
Ahsante mkuu, big point
 
Uswazi wanaenda shule za kata, hizi shule kuna kipindi zilikuwa ni kama zinazima ndoto za vijana. labda kwenda kwao shule za kata kunawafanya waonekane wana IQ ndogo. Ila kuna namna ni kweli ikizingatiwa matumizi ya akili yana uhusiano mkubwa na nidhamu

Nje ya mada kidogo na mimi naomba mnisaidie kufahamu kuna uhusiano gani kati ya nywele za kipiipili na ukorofi/utukutu, maana watoto/rafiki wote wenye vipili pili niliowahi kukutana nao ni wakorofi au watukutu sana. Halafu hawa jamaa ukubwani ndio huwa wanakuja kunyoa vipara sana sasa wanafanya watu wanaonyoa vipara nao kuonekana ni wakorofi wakorofi au wahuni fulani hivi.
I'm offended
 
Back
Top Bottom