Kuna uhusiano gani kati ya akili na malezi?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,415
3,360
Habari wakuu!

Huwa nimekuwa ni mwenye kujiuliza sana hili swali

Mara nyingi utakuta familia zenye malezi na maadili mazuri watot wao huwa bright sana na kinyume chake familia zenye uswahili mwing (hususa maeneo ya uswazi) pia mara nying watot nao huwa zero iq

Je kuna uhusiano gani kati ya u-intelligance wa mtot na malez?

Jamiiforums home of great thinkers
maxresdefault.jpg
 
Tunaomba u define kwanza akili ni nini? Kisha u define malezi ni nini?

ndio tuanze kujadili ili uelewe tutakachokufafanulia
Fafanua kwa uelewa wako tu mkuu, hata kama ikiwa nipo wrong nitaelewa
 
Habari wakuu!

Huwa nimekuwa ni mwenye kujiuliza sana hili swali

Mara nyingi utakuta familia zenye malezi na maadili mazuri watot wao huwa bright sana na kinyume chake familia zenye uswahili mwing (hususa maeneo ya uswazi) pia mara nying watot nao huwa zero iq

Je kuna uhusiano gani kati ya u-intelligance wa mtot na malez?

Jamiiforums home of great thinkersView attachment 1928990
Naafiki upo uhusiano kati ya malezi na akili ila sikubaliani na kusema watoto wengi wa uswahilini wana zero iq
 
Habari wakuu!

Huwa nimekuwa ni mwenye kujiuliza sana hili swali

Mara nyingi utakuta familia zenye malezi na maadili mazuri watot wao huwa bright sana na kinyume chake familia zenye uswahili mwing (hususa maeneo ya uswazi) pia mara nying watot nao huwa zero iq

Je kuna uhusiano gani kati ya u-intelligance wa mtot na malez?

Jamiiforums home of great thinkersView attachment 1928990
Afya ya akili huumbwa tangu kutungwa mimba...malezi kipindi cha mimba mpaka kujifungua ni muhimu sana kuamua hatima msingi ya mtoto
Hatua ya pili ni makuzi mpaka kufikia balehe hapo napo ndio akili huendelea kuundwa kuanzia kwenye vyakula, malezi mazingira elimu ya awali nk
 
Akili ni sponchi likiwekwa kwenye fluid litanyonya, ukilikamuwa litatoa hiyohiyo fluid.
Mfano, mtoto wa miaka mitatu anayeongea maneno 10, tisa ni matusi, hayo ni malezi, dini zote ni matokeo ya malezi, kiwango cha akili ya mtoto itajijenga kimalezi!
 
Nimekupata mkuu Mshana Jr
 
Akili ni sponchi likiwekwa kwenye fluid litanyonya, ukilikamuwa litatoa hiyohiyo fluid.
Mfano, mtoto wa miaka mitatu anayeongea maneno 10, tisa ni matusi, hayo ni malezi, dini zote ni matokeo ya malezi, kiwango cha akili ya mtoto itajijenga kimalezi!
Kwel mkuu, bila ya shaka haipingani na ukweli
 
Fafanua kwa uelewa wako tu mkuu, hata kama ikiwa nipo wrong nitaelewa
fancy-wooden-cupboard-500x500.jpg

Chukulia mfano mimi na wewe tumezaliwa leo, mimi baba yangu anaishi Masaki wewe baba yako anaishi Buza,

Hilo kabati tupu lisilo na kitu ndio sawa na ubongo, yaani mimi na wewe tupo ktk stage moja.

Baada ya miaka minne mimi nkapelekwa DAY CARE nkaanza kufundishwa kusoma kuandika n.k means naanza kupanga vitu precious kwenye kabati langu (ubongo), wakati huo wewe ndugu zako wanaenda pamoja nawewe wanakubeba mgongoni kwenda kuangalia vigodoro na singeli za akina Meja kunta, means kwenye kabati lako (ubongo) unapanga singeli mimi napanga elimu,

BAADA YA MIAKA 25
Mimi nina elimu ya chuo kikuu baba yangu alinipereka Havard, now nimeajiliwa B.O.T
Kabati langu (ubongo) kuna mambo mazuri mazuri kama vile elimu n.k
pngtree-hand-painted-bookcase-book-cabinet-png-image_326688.jpg

Wakati huo wewe elimu yako ni ya kidato cha nne, wavuta bangi wote mtaani unawajua, nyimbo zote za akina Manfongo unazijua yaani kwenye kabati lako (ubongo) kuna usseles material

dirty-noisy-old-cupboard.jpg

TUKISIMAMISHWA MIMI NA WEWE TUKAAMBIWA TUTOE MAONI KUHUSU jambo flani mimi nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa maoni positive kwa sababu kwenye kabati langu kuna vitu muhimu, ila wewe utaishia kuongea vitu ambavyo havina mashiko maana kwenye kabati lako kuna singeli na vitu vingine visivyo na tija

Umeelewa????
 
View attachment 1929013

Chukulia mfano mimi na wewe tumezaliwa leo, mimi baba yangu anaishi Masaki wewe baba yako anaishi Buza,

Hilo kabati tupu lisilo na kitu ndio sawa na ubongo, yaani mimi na wewe tupo ktk stage moja.

Baada ya miaka minne mimi nkapelekwa DAY CARE nkaanza kufundishwa kusoma kuandika n.k means naanza kupanga vitu precious kwenye kabati langu (ubongo), wakati huo wewe ndugu zako wanaenda pamoja nawewe wanakubeba mgongoni kwenda kuangalia vigodoro na singeli za akina Meja kunta, means kwenye kabati lako (ubongo) unapanga singeli mimi napanga elimu,

BAADA YA MIAKA 25
Mimi nina elimu ya chuo kikuu baba yangu alinipereka Havard, now nimeajiliwa B.O.T
Kabati langu (ubongo) kuna mambo mazuri mazuri kama vile elimu n.k
View attachment 1929019

Wakati huo wewe elimu yako ni ya kidato cha nne, wavuta bangi wote mtaani unawajua, nyimbo zote za akina Manfongo unazijua yaani kwenye kabati lako (ubongo) kuna usseles material

View attachment 1929024

TUKISIMAMISHWA MIMI NA WEWE TUKAAMBIWA TUTOE MAONI KUHUSU jambo flani mimi nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutoa maoni positive kwa sababu kwenye kabati langu kuna vitu muhimu, ila wewe utaishia kuongea vitu ambavyo havina mashiko maana kwenye kabati lako kuna singeli na vitu vingine visivyo na tija

Umeelewa????
Ahsante mkuu, nimekuelewa ila hilo kabati la chini limenifurahisha sana
 
IQ ni Intelligence quotient, huwa ni fractional number, baadaye wanajaribu kuzidisha kwa 100, IQ ni mahusiano kati ya mental age na chronological age, mara nyingi in years or months, IQ huathiriwa na asili, uchumi, makuzi, chakula, afya mazingira na vinginevyo!
Nimekupata mkuu, kwahiyo iq ya mtot kwa namna fulani mzaz huweza kuijenga?
 
Habari wakuu!

Huwa nimekuwa ni mwenye kujiuliza sana hili swali

Mara nyingi utakuta familia zenye malezi na maadili mazuri watot wao huwa bright sana na kinyume chake familia zenye uswahili mwing (hususa maeneo ya uswazi) pia mara nying watot nao huwa zero iq

Je kuna uhusiano gani kati ya u-intelligance wa mtot na malez?

Jamiiforums home of great thinkersView attachment 1928990
Uswazi wanaenda shule za kata, hizi shule kuna kipindi zilikuwa ni kama zinazima ndoto za vijana. labda kwenda kwao shule za kata kunawafanya waonekane wana IQ ndogo. Ila kuna namna ni kweli ikizingatiwa matumizi ya akili yana uhusiano mkubwa na nidhamu

Nje ya mada kidogo na mimi naomba mnisaidie kufahamu kuna uhusiano gani kati ya nywele za kipiipili na ukorofi/utukutu, maana watoto/rafiki wote wenye vipili pili niliowahi kukutana nao ni wakorofi au watukutu sana. Halafu hawa jamaa ukubwani ndio huwa wanakuja kunyoa vipara sana sasa wanafanya watu wanaonyoa vipara nao kuonekana ni wakorofi wakorofi au wahuni fulani hivi.
 
Hapo ndiyo mwanzo wa ujinga wako. Nani alikwambia watoto wengi wa uswahilini wana zero IQ? Ulifanya utafiti wapi? Usitutukane tafadhali
 
Uswazi wanaenda shule za kata, hizi shule kuna kipindi zilikuwa ni kama zinazima ndoto za vijana. labda kwenda kwao shule za kata kunawafanya waonekane wana IQ ndogo. Ila kuna namna ni kweli ikizingatiwa matumizi ya akili yana uhusiano mkubwa na nidhamu

Nje ya mada kidogo na mimi naomba mnisaidie kufahamu kuna uhusiano gani kati ya nywele za kipiipili na ukorofi/utukutu, maana watoto/rafiki wote wenye vipili pili niliowahi kukutana nao ni wakorofi au watukutu sana. Halafu hawa jamaa ukubwani ndio huwa wanakuja kunyoa vipara sana sasa wanafanya watu wanaonyoa vipara nao kuonekana ni wakorofi wakorofi au wahuni fulani hivi.
Na waje kutufahamisha
 
Back
Top Bottom