Kuna ugumu gani kwa luninga za kwenye vyombo vya usafiri kuonyesha majarida (documentary)

t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
6,330
14,618
Siku moja ,Nilipanda basi la mkoani (sio TZ),bus attendant akaweka documentary film ,nakumbuka jinsi abiria walivyokua wakibadilishana mawazo kutokana na facts zilizokua zinasimuliwa kwenye documentary ile,(sijaikumbuka jina ila ilikuwa kuhusu tafiti za kisayansi) , wakati wa kurudi nikapanda basi jingine,lenyewe nalo , kama lile la mwanzo kulikuwa na documentary inayohusu mazingira . Nilistaajabu sana na jinsi abiria walivyokua na uelewa wa juu sana ,hasa katika kutoa na kupinga hoja . hali ni tofauti sana kwenye luninga za vyombo vyetu vya usafiri, utakuta unawekewa kwaya ,movie za bongo ,taarabu n.k. vitu ambavyo kimsingi havitujengi kuwa na maarifa.

My take: Inawezekana kuwa ni moja ya sababu ya watanzania, kutokuwa too demanding kwenye maarifa.
 
Tatizo nadhani ni Lugha,Documentary nyingi zimeandaliwa katika Lugha ya kiingereza na wengi wetu kiingereza wanakiona sawa na mkwe,na kwa upande mwingine wengi wetu hawapendi kujifunza vitu vipya vinavyoongeza uelewa wa masuala mbalimbali na wanaona ni bora kusikiliza mipasho badala ya kujielimisha masuala tofauti tofauti..
 
Siku moja ,Nilipanda basi la mkoani (sio TZ),bus attendant akaweka documentary film ,nakumbuka jinsi abiria walivyokua wakibadilishana mawazo kutokana na facts zilizokua zinasimuliwa kwenye documentary ile,(sijaikumbuka jina ila ilikuwa kuhusu tafiti za kisayansi) , wakati wa kurudi nikapanda basi jingine,lenyewe nalo , kama lile la mwanzo kulikuwa na documentary inayohusu mazingira . Nilistaajabu sana na jinsi abiria walivyokua na uelewa wa juu sana ,hasa katika kutoa na kupinga hoja . hali ni tofauti sana kwenye luninga za vyombo vyetu vya usafiri, utakuta unawekewa kwaya ,movie za bongo ,taarabu n.k. vitu ambavyo kimsingi havitujengi kuwa na maarifa.

My take: Inawezekana kuwa ni moja ya sababu ya watanzania, kutokuwa too demanding kwenye maarifa.

Unadhani kipindi kama Jicho la Tatu ni cha aina gani? Au Ripoti Maalum ya ITV...
Sijui mwenzangu unataka documentary za aina gani? Kuna Toyota World of Wildlife, Championz League Magazine na vile vipindi vya TBC na Mlimani TV, zote ni documentary mkuu...
 
Nadhani hukunielewa ninazungumzia kwenye luninga ya kwenye vyombo vya usafiri !
 
Siku moja ,Nilipanda basi la mkoani (sio TZ),bus attendant akaweka documentary film ,nakumbuka jinsi abiria walivyokua wakibadilishana mawazo kutokana na facts zilizokua zinasimuliwa kwenye documentary ile,(sijaikumbuka jina ila ilikuwa kuhusu tafiti za kisayansi) , wakati wa kurudi nikapanda basi jingine,lenyewe nalo , kama lile la mwanzo kulikuwa na documentary inayohusu mazingira . Nilistaajabu sana na jinsi abiria walivyokua na uelewa wa juu sana ,hasa katika kutoa na kupinga hoja . hali ni tofauti sana kwenye luninga za vyombo vyetu vya usafiri, utakuta unawekewa kwaya ,movie za bongo ,taarabu n.k. vitu ambavyo kimsingi havitujengi kuwa na maarifa.

My take: Inawezekana kuwa ni moja ya sababu ya watanzania, kutokuwa too demanding kwenye maarifa.
hahaaaa nimecheka sana.wewe una bifu na bongo movie mzee
 
Back
Top Bottom