Kuna ugonjwa wa kupenda kutongozwa jamani

hahahahaaaaa dah nilichukia cku moja et natongozwa na mlinzi "security guard wa ofcn kwetu" duh niliishia kucheka sku nzima! raha utongozwe na vijana rijali wenye nafasi zao hata kama huwakubali ila eeee..... utamalizia!
 
Ndugu,

Nimepitia message karibu zote, Nimepata maswali ambayo yanahitaji majibu.
1. Kwanini mtu anatongoza / anatongozwa?
2. Kwa nini mtu anakataa / anakubali akitongozwa?
3. Kwanini wakati unatongozwa uanze kujiuliza kama mtongozaji ni konda/muuza kahawa, mlinzi n.k?
4. Mbona mtongozaji hajiulizi kama mtongozwaji ni muuza bia kwenye baa, muuza mchicha au karanga mtaani?

Kumbuka
Huyo Konda/ Mgalisha Viatu, Mlinzi au Muuza Kahawa anaweza kuwa rijali kuliko mwenye kazi nzuri na mtanashati.
 
Dah... Napita tu. We lazima utakuwa mwalimu au mwana wa sailojia
 
Na wale watongozaji wa kila mwanamke anayepita mbele yao nao ni wagonjwa bila shaka!!
 
Ndugu,

Nimepitia message karibu zote, Nimepata maswali ambayo yanahitaji majibu.
1. Kwanini mtu anatongoza / anatongozwa?
2. Kwa nini mtu anakataa / anakubali akitongozwa?
3. Kwanini wakati unatongozwa uanze kujiuliza kama mtongozaji ni konda/muuza kahawa, mlinzi n.k?
4. Mbona mtongozaji hajiulizi kama mtongozwaji ni muuza bia kwenye baa, muuza mchicha au karanga mtaani?

Kumbuka
Huyo Konda/ Mgalisha Viatu, Mlinzi au Muuza Kahawa anaweza kuwa rijali kuliko mwenye kazi nzuri na mtanashati.
urijali wa mwanaume ni nini mkuu hebu niambie
 
Ana pepo la mahaba,
kwanini huyo mchungaji wa kondoo asikemee hiyo hali
au ni mpaka nigeria.
 
mmmh mi sijui
raha ya kutongozwa inategemea na mtongozaji bwana......
sio unatongozwa na waume za watu.makonda,watoto wadogo ... wacongo....mapadre ufurahie...
mimi kwangu inategemea ananitongoza nani....
kiukweli kuna magroup huwa sipendi wanitongoze especially waume za watu ...kweli nachukia tongozo zao toka moyoni kabisa
huwa naumwa kabisa ...kabisa...

Naona mateja hujataja hapo hao vp?
 
hahahahaaaaa dah nilichukia cku moja et natongozwa na mlinzi "security guard wa ofcn kwetu" duh niliishia kucheka sku nzima! raha utongozwe na vijana rijali wenye nafasi zao hata kama huwakubali ila eeee..... utamalizia!

Acha dharau Charminggirl kwani mlinzi kikojoleo chake na cha mmeo vinatofauti gani akiwa kama mwanaume?
 
ahahaaa fidel oooh sasa sister nipe kimoja fasta basi nipotezee mwana............

Jamaa zangu waendesha daladala wanasema wake za watu wanawapenda sana mateja akipanda kifuani habanduki mpaka anusishwe stata ndo anatelemka sasa majimama wanawapenda sana hao anakata ukame wa wiki au miezi kadhaa
 
mi bikra hayo sijui bana.........................
 
Back
Top Bottom