Kuna ubishi apa eti kuku na yai nani mkubwa?

Hebu fikiria
Ukiweka chakula bila kuki hifadhi kwa siku 4
Kitaoza na FUNZA hutokea

Fikiria tena CHAWA wanatoka wapo ?

Mwisho kuku ndo mkubwa
 
Hiyo imeshakuwa proven scientifically Kuku alianza na hilo swali kufia hapo hapo. Umiza kichwa kidogo fuatilia au Google.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom