Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Kama mkubwa kuku. Uyo kuku angetoka bila yai? Na Kama mkubwa yai. Yai limetagwa na nani? Kama sio kuku ? Msaada wenu the great thinkers
Hebu fikiria
Ukiweka chakula bila kuki hifadhi kwa siku 4
Kitaoza na FUNZA hutokea
Fikiria tena CHAWA wanatoka wapo ?
Mwisho kuku ndo mkubwa
Kuku angetoka bila yai?Hebu fikiria
Ukiweka chakula bila kuki hifadhi kwa siku 4
Kitaoza na FUNZA hutokea
Fikiria tena CHAWA wanatoka wapo ?
Mwisho kuku ndo mkubwa
Anae toka ktk yai ni kifaranga cha kuku .... usikariri formula ....P
Kuku angetoka bila yai?
Kifaranga cha kuku kinaitwa nini sio kuku?Anae toka ktk yai ni kifaranga cha kuku .... usikariri formula ....
Kwani yale mayai ya chips yanaweza kutotoa?Kama mkubwa kuku. Uyo kuku angetoka bila yai? Na Kama mkubwa yai. Yai limetagwa na nani? Kama sio kuku ? Msaada wenu the great thinkers
Kwani mungu aliumba yai au kuku?Kama mkubwa kuku. Uyo kuku angetoka bila yai? Na Kama mkubwa yai. Yai limetagwa na nani? Kama sio kuku ? Msaada wenu the great thinkers
Uyo kuku asili yake ni yai tafiti upyaAlianza kuku kabla ya yai
Acha kupumbazika na Google mkuu tafiti mwenyeweHiyo imeshakuwa proven scientifically Kuku alianza na hilo swali kufia hapo hapo. Umiza kichwa kidogo fuatilia au Google.
Wewe unaonaje ?Kwani yale mayai ya chips yanaweza kutotoa?
MhVyote vikubwa
Kuku asili yake ni yai mkuuHebu fikiria
Ukiweka chakula bila kuki hifadhi kwa siku 4
Kitaoza na FUNZA hutokea
Fikiria tena CHAWA wanatoka wapo ?
Mwisho kuku ndo mkubwa
Tupe asili ya kuku ApaAlianza kuku kabla ya yai
Na yai limetagwa na nani?P
Kuku angetoka bila yai?
Wewe unaonaje?Kwani mungu aliumba yai au kuku?
Hahaha mkuu hutumwa uchangie uzi njaa zako sisi zinatuhusu nini?Mkubwa babu yako watu tuna njaa mnaleta ujinga jiulize kati ya bao na mtu nan,mkubwa