Kuna ubishi apa eti kuku na yai nani mkubwa?

Kama mkubwa kuku. Uyo kuku angetoka bila yai? Na Kama mkubwa yai. Yai limetagwa na nani? Kama sio kuku ? Msaada wenu the great thinkers
Nikama kusema shahawa na kiumbe na mkubwa. Huwezi ukawa na shahawa au ukammbebesha mimba mwanamke kama huja barehe. Yayi aliwezi likawepo kama hakuna Kuku mbili jogoo na joke zenye uwezo wakutengeza yayi. Kwahi jibu umepata hapo.
 
Viumbe vyote viliumbwa viwili viwili na kuku wakiwemo kwahiyo alitangulia kuku na mayai ni matokeo ya hao kuku
 
Back
Top Bottom