Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Binafsi nimeshtuka na nimecheka ( unisamehe kwa kucheka)
But nilivokaa nikatulia nikaona una logic
Kuuliza c ujinga!! Cha msingi ilibidi ujibiwe na ushauriwe!!

Majibu yangu!!
Inategemea sasa na itikadi zako na usafi wako binafsii,
-kama tu mav...z ukiuliza unanyoa au unaacha kila mtu ana majibu yake

-Lakin hamnaga sheria hapo ukinyoa hamna ubaya na ukiacha hamna ubaya
Inategemea na usafi wako kama wewe c msafi bas usipende n vizuri ukawa unanyoa maana utakua unanuka ki..ny...s kama ujuavyo nywere ina nasa nanii kama hujisafish vizur especially watumia toilet paper!!

-hizo ni nywere kama zilivo nyingine za kwapa,vu....z ,au za kifua n.k so kama unamudu kumaintain usafi zisikuletee maradhi ni vizuri
Kama we n mchafu au si msafi nyoa itakuaaidia

-kimuonekano n vizuri mwili wa mwanaume ukajitofautisha na mwanamke !! Inafaa uwe na nywere ndevu,n.k so badala ya kunyoa kabisa kukwangua bas waweza punguza
.........humu unaweza pokea critism nyingi ingawa kuna wanaonyoa na kufuga ila wote wataonesha akili moja (mob psychology)......

Ushauri kama unamaswali mengi pia waweza jiunga Quora kuna watu wengi professional hakuna uswahili hiyo n international platform
 
𝚗𝚊𝚙𝚊𝚝 𝚗𝚊𝚣𝚘 𝚜𝚑𝚒𝚍𝚊... 𝚗𝚊 𝚑𝚞𝚞 𝚞𝚗𝚎𝚗𝚎 𝚠𝚔𝚝 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚣𝚒𝚔𝚊𝚝𝚊 𝚗𝚊𝚔𝚞𝚕𝚊 𝚣𝚘𝚎𝚣 𝚕𝚊𝚔𝚞𝚝𝚘𝚜𝚑𝚊𝚊𝚊
 
Inatakiwa unyolewe na mwenzio! Yanini kujipa shida mama?
 
Binafsi nimeshtuka na nimecheka ( unisamehe kwa kucheka)
But nilivokaa nikatulia nikaona una logic
Kuuliza c ujinga!! Cha msingi ilibidi ujibiwe na ushauriwe!!

Majibu yangu!!
Inategemea sasa na itikadi zako na usafi wako binafsii,
-kama tu mav...z ukiuliza unanyoa au unaacha kila mtu ana majibu yake

-Lakin hamnaga sheria hapo ukinyoa hamna ubaya na ukiacha hamna ubaya
Inategemea na usafi wako kama wewe c msafi bas usipende n vizuri ukawa unanyoa maana utakua unanuka ki..ny...s kama ujuavyo nywere ina nasa nanii kama hujisafish vizur especially watumia toilet paper!!

-hizo ni nywere kama zilivo nyingine za kwapa,vu....z ,au za kifua n.k so kama unamudu kumaintain usafi zisikuletee maradhi ni vizuri
Kama we n mchafu au si msafi nyoa itakuaaidia

-kimuonekano n vizuri mwili wa mwanaume ukajitofautisha na mwanamke !! Inafaa uwe na nywere ndevu,n.k so badala ya kunyoa kabisa kukwangua bas waweza punguza
.........humu unaweza pokea critism nyingi ingawa kuna wanaonyoa na kufuga ila wote wataonesha akili moja (mob psychology)......

Ushauri kama unamaswali mengi pia waweza jiunga Quora kuna watu wengi professional hakuna uswahili hiyo n international platform
Jamaa yetu kwenye usaili alikosa ajira hivi hivi baada ya kukutwa kweupe hazipo
 
Njoo nikunyoe usipate shida tatizo litakuwa kwako umesema kwenu ndio makata mavi sio ukiyanyoa itabidi uingie chooni na wa kukatia hayo mavi baada ya makata mavi kuyakata.

Kama sivyo utakunya marefu bila shaka maana makata mavi yatakuwa ayajaota hayo makata mavi kwani kwenu wapi huko kwenye hayo makata mavi?

Tanzania kubwa hii na tamaduni tofauti sikuulizi kama mnajitawaza hapa nauliza hayo makata mavi
Spati kitufe cha kucheka, Ila nimecheka haswaaaaa
 
Mood..mood...moderators!! amkeni ....aaa! amka! .. bana! au umesusa kazi? huu uzi unauona unavo rindima au...ndo umekamatiwa masikio na hako kademu kako kazee???! fanyeni kazi bana nywele za kati ndo nn......
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..

Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..

Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..

Karibuni wadau
naonaga wale wangese ndo wanasafishaga kunakuwa kweipe pee..... sasa mkuu ukisafisha hivyo huoni inakuwa kuna sitofahamu kujua utakacho baadae?
 
Back
Top Bottom