Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,151
- 4,716
Wewe umenyoa?
Unamaanisha nini Dingilai??
Ndio wapi huko?? Tag meHii mada mbona inajirudia sana ! nyingine iko kule jukwaa la urembo.
Ndio hayo bablai
unaanzanze kunyoa mavuzi ya mkunduni? hata kutawaza tu ni mbinde sembuse kunyoa!
We jamaa..hahahahhaunaanzanze kunyoa mavuzi ya mkunduni? hata kutawaza tu ni mbinde sembuse kunyoa!
Wewe ni wakiume au wakike maana wakike ndio huwa hawanaga
That meana unataka kuweka yako sio?Weka picha tuone
Kwahyo hautawazagi??unaanzanze kunyoa mavuzi ya mkunduni? hata kutawaza tu ni mbinde sembuse kunyoa!
Mbona kuna sredi nyingi sana zinaulizia hizo nywele? Vipi mnafanya michezo ya "AMBER RUTTY"?Habari wana Jf
Katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakibishana kuhusu swala ya mtoto wa kiume kunyoa nywele zinazozunguka sehemu ya haja kubwa.
Wengine wakisema sio sahihi mtoto wa kiume kufanya hivyo.
Wengine wakisema kuwa ni sahihi kunyoa hizo nywele kwasababu ni uchafu.
Nini mitazamo yenu juu ya hili??
Kwangu mimi nipo bega kwa bega na wazee wa kupinga kunyoa hizo nywele.
Mtazamo wako ni upi?Habari wana Jf

Kipi bora mkuu??Kuna mambo mwanaume unaweza ukawa unayafanya kwania nzuri kwa ajili ya kujiweka swafi wewe mwenyewe lakini ukisema hadharani huwa nanyoa hizi sehemu basi unaacha maswali.
Unanyoa ili aone nani?
Na unajinyoaje au anakunyoa nani?
Hayo ni mojawapo ya maswali unayoweza ukaulizwa.
Ni sawa tu na kupaka mafuta matakoni.
Hao wageni si ndio wale wanapigwa vita hapa nchini??Ukiona mtu anasafishasafisha nyumba inawezekana akawa anategemea wageni.
Kwanini Mkuu??Mimi nimenyoa garden LA kifua maana ilitaka kichaka pia vuzi nimenyoa but vyote kwa mkasi ila huko si gusi
UnamaanishaKwanini Mkuu??
Kwanini umenyoa zote kasoro hizo?Unamaanisha