Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Habari wana Jf

Katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakibishana kuhusu swala ya mtoto wa kiume kunyoa nywele zinazozunguka sehemu ya haja kubwa.

Wengine wakisema sio sahihi mtoto wa kiume kufanya hivyo.

Wengine wakisema kuwa ni sahihi kunyoa hizo nywele kwasababu ni uchafu.

Nini mitazamo yenu juu ya hili??

Kwangu mimi nipo bega kwa bega na wazee wa kupinga kunyoa hizo nywele.
Mbona kuna sredi nyingi sana zinaulizia hizo nywele? Vipi mnafanya michezo ya "AMBER RUTTY"?
 
Habari wana Jf

Katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakibishana kuhusu swala ya mtoto wa kiume kunyoa nywele zinazozunguka sehemu ya haja kubwa.

Wengine wakisema sio sahihi mtoto wa kiume kufanya hivyo.

Wengine wakisema kuwa ni sahihi kunyoa hizo nywele kwasababu ni uchafu.

Nini mitazamo yenu juu ya hili??

Kwangu mimi nipo bega kwa bega na wazee wa kupinga kunyoa hizo nywele.
Mtazamo wako ni upi?
 
Kuna mambo mwanaume unaweza ukawa unayafanya kwania nzuri kwa ajili ya kujiweka swafi wewe mwenyewe lakini ukisema hadharani huwa nanyoa hizi sehemu basi unaacha maswali.

Unanyoa ili aone nani?

Na unajinyoaje au anakunyoa nani?

Hayo ni mojawapo ya maswali unayoweza ukaulizwa.

Ni sawa tu na kupaka mafuta matakoni.
Kipi bora mkuu??
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom