Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?


Emilias G

Emilias G

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
2,224
Likes
1,413
Points
280
Emilias G

Emilias G

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
2,224 1,413 280
Mimi ni kinyozi wa hayo mavuz** tigo na sina gharama zaidi ya kununua wembe au home kwako kuwe na umeme nakuja na machine yangu!
Mwenye uhitaji PM kuko wazi!
 
mwandende

mwandende

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Messages
2,229
Likes
2,640
Points
280
Age
39
mwandende

mwandende

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2017
2,229 2,640 280
UNAMSAFISHIA NANI kwa mfano?ikiwezekana WEKA HATA VIWEMBE huko....atakayefika VIMKATEKATE...hyo siyo SEHEMU ya KUIREMBA,,,kama huna matumizi NAYO..... wale wote wanaoremba huko chinj basi wana matumizi NAYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Messages
711
Likes
200
Points
60
Age
39
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2013
711 200 60
Hayo ni mauchafu tu Kama uchafu mwingine so Kama una mke mwambie Shem ayakwangue tu
 
lendanai

lendanai

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
255
Likes
77
Points
45
lendanai

lendanai

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2014
255 77 45
Hivi dume la simba linapotaka kunyoa zile nywele za kuonesha kwamba yeye ndio dume lilikomaa maana yake nini? Linataka mgogo wake uwe laini kama jike liweze kutamaniwa kupandwa na madume mengine.
Haha haha haha a,eti unassemaaaaaaaa
 
M

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Messages
208
Likes
279
Points
80
M

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2016
208 279 80
ETI JF Ifungiwe, Kweli kuna watu hawataenda Mbinguni kwa ujinga wao
 
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Messages
4,082
Likes
2,430
Points
280
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2014
4,082 2,430 280
hizi mada za kunyoa nywele za mkuntuni zimezidi nowdays mmh!! Kizazi kinapotea taratibu, mambo ya utandawazi hayo.
 

Forum statistics

Threads 1,262,360
Members 485,562
Posts 30,121,167