Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

Njoo nikunyoe usipate shida tatizo litakuwa kwako umesema kwenu ndio makata mavi sio ukiyanyoa itabidi uingie chooni na wa kukatia hayo mavi baada ya makata mavi kuyakata.

Kama sivyo utakunya marefu bila shaka maana makata mavi yatakuwa ayajaota hayo makata mavi kwani kwenu wapi huko kwenye hayo makata mavi?

Tanzania kubwa hii na tamaduni tofauti sikuulizi kama mnajitawaza hapa nauliza hayo makata mavi
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..

Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..

Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..

Karibuni wadau
Weka picha tuone zilivyokaa mi ni kinyozi wa hizo sehemu
 
Hivi dume la simba linapotaka kunyoa zile nywele za kuonesha kwamba yeye ndio dume lilikomaa maana yake nini? Linataka mgogo wake uwe laini kama jike liweze kutamaniwa kupandwa na madume mengine.
Mie hii Titicomb bado sijaelewa kabisa yani labda nikuulize tu...

Hivi wanaume wote tukivaa nguo ni yupi utamjua kwamba huyu anazo au huyu kanyoa ,hivi utawajua vipi ????
 
Njoo nikunyoe usipate shida tatizo litakuwa kwako umesema kwenu ndio makata mavi sio ukiyanyoa itabidi uingie chooni na wa kukatia hayo mavi baada ya makata mavi kuyakata.

Kama sivyo utakunya marefu bila shaka maana makata mavi yatakuwa ayajaota hayo makata mavi kwani kwenu wapi huko kwenye hayo makata mavi?

Tanzania kubwa hii na tamaduni tofauti sikuulizi kama mnajitawaza hapa nauliza hayo makata mavi
nimecheka mpk machozi Loooh
 
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..

Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani twazifamahu,hizi kikwetu wanapenda kuita (samahanini wana jf )makata m.....a.....v! ..

Sasa swali langu jeee kuna ubaya kuziondoa hizi nyweli yani nikakwangua hasa mpaka sehemu ikawa paraa .pia kama wapo ambao wananyoa na wale ambao hawanyoi basi tubadilishane mawazo kuhusu hili..

Karibuni wadau
Izo zinasaidia ukijamba ushuzi usilie kwa sauti kubwa yaan kwa kifupi ni kama filter. ..ukizikata tu ujue ata ukijamba ushuzi mdogo utasikika tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom