Mmi kama m bara naunga mkono zanzibar jitoeni maana hata sisi hatuoni umuhimu wenu kwetu. Kwa mimi mtu wa kawaida bado sijaona kitu ambacho bara wananufaika kutoka zanzibar sanasana naona kama zanzibar ndo wananufaika cause a lot of them wapo huku wanafaidi fursa zilizopo.
Hata sisi wabara wazenjibar mnatukera yakhe! ila politician wetu wanawang'ang'ania sijuio wanawataka nini atiii!!. Jitoeni basi nasi tuondokane na kero zenu kila kukicha muungano ufe muungane ufe mpaka mwatuboa yakhe