Kuna ubaya gani tukisema Mtu Maarufu kafa kwa UKIMWI?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,792
Tumekuwa tukiuzunguka mbuyu, eti kafa na stroke, mara kisukari., mara lile wakati jamaa kafa na ngoma na alikuwa na medemu wengi sana na wengine walisha tangulia mbele ya haki kwa kaugonjwa kalekale
 
mtu anaweza kuwa na virus vya ukimwi lakini akafa na maralia au ugonjwa wowote ule, mie naamini ya kuwa mtu kuwa na VVU haimaanishi anakinga ya maradhi mengine. pia kama ni kufa anaweza kufa na ukimwi lakini si kwa ukimwi!. hilo ni wazo langu tu si lazima liwe sahihi!
 
Well said,na hata kama ni ukimwi wenyewe wanandugu ndo wanaamua kutangaza maana wao ndo wanakuwa wanajua chanzo cha kifo,mambo mengine inakuwa uzushi.
 
Jamani ukimwi doesnt kill bali unashusha tu kinga.magonjwa nyemelezi ndo yanaua.....ni kweli sheikh katangulia mbele ya haki?
 
Back
Top Bottom