Kwa hiyo wewe umeona uitetee buibui tu?kusadikika au kufikirika?Kila mtu mbaya anavaa baibui?Hii Ni chai ya Baridi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe umeona uitetee buibui tu?kusadikika au kufikirika?Kila mtu mbaya anavaa baibui?Hii Ni chai ya Baridi kabisa.
Mambo gani yanayoshabihiana na kujirudiarudia?Labda unalosema ni kweli lakini kwa nini umekuja na conclusion hiyo na siyo ya kwangu? Nilikuwa bwa mdogo sana kufikiria lolote wakati ule. Tukio nililisahau au sikuliweka katika mawazo yangu kabisa mpaka baadae miaka ikapita ndiyo nikagundua kuna vitu vinavyoshabihiana vinajirudiarudia.
Hawa wanaokejeli ndio wachawi wenyewe ,wewe unaposema uchawi haupo unataka kutuaminishisha shetani hayupo?Ili muendelee kuroga watu vizuri. Misingi ya dini zote ni kumpinga shetani.Mtu mzima kufikia kuleta uzi hapa ujue amepambana alivyoweza imeshindikana.Vua uhoga na dhana dhaifu,mabadiliko yako kwako mwenyewe
Ninyi ndo wachawi wenyewe una uhakika uchawi haupo uko dunia gani? Acha uchawi Mungu anakuona.Una maana huyo mchawi alikuroga wewe na familia yako? You're being delusional mkuu, usitafute mchawi wakumpa lawama sababu uchawi wenyewe haupo pambana.
Ninyi ndo wachawi wenyewe una uhakika uchawi haupo uko dunia gani? Acha uchawi Mungu anakuona.
Hivi katk hiyo story umeona proof ya yeye kurogwa? Watu hawakatai kama hakuna uchawi, ila kwa alichojielezea yeye uchawi hauonekani. Hiyo taaluma ina misingi yake mkuu, Haiendi kwa hisia tu.Kama hujawahi kulogwa usicomment. Maisha yana tiba mbalimbali usidanganywe nenda kwa waganga pia nyumba za Ibada bora usiende kwa nia ya kudhuru mtu. Wote ni wa Mungu. Tumedanganywa na wazungu kwa maslahi yao.
Unasema hivyo kwasababu tukio limehusisha baibui? Wakati watu wa vazi hilo ndio wenyewe kwa yale mambo. Acheni ujinga kuna tatizo hapo na msaada unahitajika. Ndugu nenda kwenye maombi ya watumishi wa Mungu aliye hai, YESU KRISTO na utapona kabisa.Hivi katk hiyo story umeona proof ya yeye kurogwa? Watu hawakatai kama hakuna uchawi, ila kwa alichojielezea yeye uchawi hauonekani. Hiyo taaluma ina misingi yake mkuu, Haiendi kwa hisia tu.
YAANI KAMA KAROGWA SIYO KATIKA TUKIO HILO. Kwanza aeleze vizuri aliachaje shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua ukiumwa ukaenda hospitali hushangaaji dr ana kukuuliza maswali ambayo kwa kawaida unawza kuona hayana uhusiano na ugonjwa wako? Mfano unaishi wapi? Unafanya kazi gani? Mara ya mwisho umekula nini? Unatumia mafuta gani ? Umeolewa? Una mpnz?Unasema hivyo kwasababu tukio limehusisha baibui? Wakati watu wa vazi hilo ndio wenyewe kwa yale mambo. Acheni ujinga kuna tatizo hapo na msaada unahitajika. Ndugu nenda kwenye maombi ya watumishi wa Mungu aliye hai, YESU KRISTO na utapona kabisa.
Mtoa mada yaani mtu akutie vidole machoni unamwangalia tu!Mabibi na Mabwana wa JF,
Naandika uzi huu hii ikiwa mara ya kwanza kabisa mimi kushare habari hii mahali popote. Sijawahi kumwambia mtu, hata familia yangu haijui kuhusu hili.
Nalileta kwenu kwa sababu nimenuia kabisa hili suala lazima nilitatue mwaka huu. Najaribu kuendelea kutambua watu ambao wanaweza kunisaidia kwa sababu nguvu inayonishikilia naona inaendelea kukaza kamba kweli kweli yaani siyo utani.
Kiufupi, kuna siku moja nikiwa kijana mdogo nilikuwa napanda basi wakati naelekea kukaa kwenye siti njiani nikapishana na mtu mmoja amevaa baibui jeusi amejifunika hadi usoni. Ilikuwa ni hapa hapa Dar es Salaam. Nakumbuka hadi kituo nilichokuwa nimepanda. Wakati napishana naye akaniwekea vidole machoni. Mimi nikapata kama bumbuazi fulani hivi yeye nadhani akashuka.
Kiufupi, maisha yangu hayajawa sawa toka wakati huo. Mimi ni mtu mwenye uwezo sana kiakili ila hata chuo niliishia katikati tena GPA yangu ikiwa ya juu. Wenzangu wamesogea sana na wengine wanaitwa waheshimiwa sasa hivi wakati mimi nimekuwa mtu ambaye hata nijaribu vipi niko pale pale. Na hata familia yangu kiujumla ukianzia kaka na dada zangu wana hali fulani ya kuhangaika tu wote. Tungeweza kufanya mambo makubwa binafsi na hata pamoja ila hakuna tunaloweza kuonyesha mpaka sasa.
Story yangu ni ndefu sana na nimepitia mengi mno nisingependa kuyaelezea hapa.
Kuna wakati tukio hili huwa linaondoka kwenye fikra zangu ila kuna wakati vitu fulani vinatokea mfululizo halafu nakumbuka siku ile.
Mimi ni mtu wa maombi, najaribu sana kuwa hivyo. Sijakata tamaa na sitakata tamaa, lakini najiulizaga nitasubiri mpaka lini?
Naomba ushauri tafadhali. Hali yangu lazima ibadilike sasa hivi.
Hapa umenena mkuu, nyie ndio mnatakiwa katika jamii na kuonesha mmekomaa kiakili kuliko hao wengine wanakuja kwa kejeli kusema mleta mada ni muongo... Ulichosema ni sahihi kabisa, sometimes mtu anahisi amerogwa kisa mambo hayaendi na familia imevurugika ila kumbe tatizo hata sio kulogwa ni mfumo wao mbovu wa uendeshaji wa maisha yao.Unajua ukiumwa ukaenda hospitali hushangaaji dr ana kukuuliza maswali ambayo kwa kawaida unawza kuona hayana uhusiano na ugonjwa wako? Mfano unaishi wapi? Unafanya kazi gani? Mara ya mwisho umekula nini? Unatumia mafuta gani ? Umeolewa? Una mpnz?
Ulishajiuliza niini msingi wa hayo maswali with relation na ugonjwa wako?
Sasa yeye mhanga wa baibui haya na hao ndugu zake huko nyumbani ambao ni wakubwa kuliko yeye? Nao walipitiwa na baibui?
Muulize vizuri akuelezee maisha ya familia yao kabla ya kuzaliwa kwake, kisha akuelezee maisha yako toka alivyo darsa la kwanza. Akupe maisha toka anaanza chuo na mahusiano. Yachanganua kisha utaona tatizo la mshikaji.
TATIZO LAKE LIKPO KICHWANI MWAKE YEYE MWENYEWE. HAJAROGWA.
Uchawi una kikomo cha muda kwanza ujue.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are an imbecile,with a dick in your ass.Lunatic, knowing you ain't a fact while you have shown everyone how stupid you are, low IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
He is a liar!Amejitungia tu.Mtoa mada yaani mtu akutie vidole machoni unamwangalia tu!
Ingekuwa mimi ndani ya dakika 2 hana meno yote ya mbele
Sent by Diaspora
Mabibi na Mabwana wa JF,
Naandika uzi huu hii ikiwa mara ya kwanza kabisa mimi kushare habari hii mahali popote. Sijawahi kumwambia mtu, hata familia yangu haijui kuhusu hili.
Nalileta kwenu kwa sababu nimenuia kabisa hili suala lazima nilitatue mwaka huu. Najaribu kuendelea kutambua watu ambao wanaweza kunisaidia kwa sababu nguvu inayonishikilia naona inaendelea kukaza kamba kweli kweli yaani siyo utani.
Kiufupi, kuna siku moja nikiwa kijana mdogo nilikuwa napanda basi wakati naelekea kukaa kwenye siti njiani nikapishana na mtu mmoja amevaa baibui jeusi amejifunika hadi usoni. Ilikuwa ni hapa hapa Dar es Salaam. Nakumbuka hadi kituo nilichokuwa nimepanda. Wakati napishana naye akaniwekea vidole machoni. Mimi nikapata kama bumbuazi fulani hivi yeye nadhani akashuka.
Kiufupi, maisha yangu hayajawa sawa toka wakati huo. Mimi ni mtu mwenye uwezo sana kiakili ila hata chuo niliishia katikati tena GPA yangu ikiwa ya juu. Wenzangu wamesogea sana na wengine wanaitwa waheshimiwa sasa hivi wakati mimi nimekuwa mtu ambaye hata nijaribu vipi niko pale pale. Na hata familia yangu kiujumla ukianzia kaka na dada zangu wana hali fulani ya kuhangaika tu wote. Tungeweza kufanya mambo makubwa binafsi na hata pamoja ila hakuna tunaloweza kuonyesha mpaka sasa.
Story yangu ni ndefu sana na nimepitia mengi mno nisingependa kuyaelezea hapa.
Kuna wakati tukio hili huwa linaondoka kwenye fikra zangu ila kuna wakati vitu fulani vinatokea mfululizo halafu nakumbuka siku ile.
Mimi ni mtu wa maombi, najaribu sana kuwa hivyo. Sijakata tamaa na sitakata tamaa, lakini najiulizaga nitasubiri mpaka lini?
Naomba ushauri tafadhali. Hali yangu lazima ibadilike sasa hivi.
Hapo ndo UZWAZWA UNAPO JIPAMBANUA mkuu!kusadikika au kufikirika?Kila mtu mbaya anavaa baibui?Hii Ni chai ya Baridi kabisa.