Kuna tukio la kishirikina liliwahi kunitokea miaka kama 20 iliyopita na limebadilisha maisha yangu

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,103
7,856
Mabibi na Mabwana wa JF,

Naandika uzi huu hii ikiwa mara ya kwanza kabisa mimi kushare habari hii mahali popote. Sijawahi kumwambia mtu, hata familia yangu haijui kuhusu hili.

Nalileta kwenu kwa sababu nimenuia kabisa hili suala lazima nilitatue mwaka huu. Najaribu kuendelea kutambua watu ambao wanaweza kunisaidia kwa sababu nguvu inayonishikilia naona inaendelea kukaza kamba kweli kweli yaani siyo utani.

Kiufupi, kuna siku moja nikiwa kijana mdogo nilikuwa napanda basi wakati naelekea kukaa kwenye siti njiani nikapishana na mtu mmoja amevaa baibui jeusi amejifunika hadi usoni. Ilikuwa ni hapa hapa Dar es Salaam. Nakumbuka hadi kituo nilichokuwa nimepanda. Wakati napishana naye akaniwekea vidole machoni. Mimi nikapata kama bumbuazi fulani hivi yeye nadhani akashuka.

Kiufupi, maisha yangu hayajawa sawa toka wakati huo. Mimi ni mtu mwenye uwezo sana kiakili ila hata chuo niliishia katikati tena GPA yangu ikiwa ya juu. Wenzangu wamesogea sana na wengine wanaitwa waheshimiwa sasa hivi wakati mimi nimekuwa mtu ambaye hata nijaribu vipi niko pale pale. Na hata familia yangu kiujumla ukianzia kaka na dada zangu wana hali fulani ya kuhangaika tu wote. Tungeweza kufanya mambo makubwa binafsi na hata pamoja ila hakuna tunaloweza kuonyesha mpaka sasa.

Story yangu ni ndefu sana na nimepitia mengi mno nisingependa kuyaelezea hapa.

Kuna wakati tukio hili huwa linaondoka kwenye fikra zangu ila kuna wakati vitu fulani vinatokea mfululizo halafu nakumbuka siku ile.

Mimi ni mtu wa maombi, najaribu sana kuwa hivyo. Sijakata tamaa na sitakata tamaa, lakini najiulizaga nitasubiri mpaka lini?

Naomba ushauri tafadhali. Hali yangu lazima ibadilike sasa hivi.
 
Pole sana bro!!.. Mimi mwenyewe kuna matatizo nilikutana nayo advance miaka ya 2013 huko ... Kuna vimizizi niliwekewa kwenye vitabu vyangu... Inaonekana vilitokea nyumbani.. Bt nilivigunduaga shuleni tangu nivigundue hivyo vidude nilisoma kwa shuda sana yani huwez amini kicha kilikuwa hakiwezi hata kukalili kitu sijui walinifanya nini watu ..bt nilijitahidi kufanya maombi nikatoboa ila nilichogundua kila niliposua sua kwenye maombi ile hali ili nirudia... Ndugu yangu kama umeanza maombi nakuomba kaza sana mambo yatakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maana huyo mchawi alikuroga wewe na familia yako? You're being delusional mkuu, usitafute mchawi wakumpa lawama sababu uchawi wenyewe haupo pambana.

Una maana gani kusema uchawi haupo?
 
Mkuu anguko la maisha yako halihusiani vyovyote na kutiwa kwako vidole kama uwaminivyo. Anguko lako ni fikra zako za ushirikina. Umejiwekea ukomo wa maendeleo kwa kuamini aliyekutia vidole alifanya hivyo kimazingara.
Kufunguka kwako kimaisha ni kwanza kuweka dhana ya kuwa mafanikio ni jitihada zako na si vinginevyo. Mengine ni changamoto za maisha tu.
 
Mabibi na Mabwana wa JF,

Naandika uzi huu hii ikiwa mara ya kwanza kabisa mimi kushare habari hii mahali popote. Sijawahi kumwambia mtu, hata familia yangu haijui kuhusu hili.

Nalileta kwenu kwa sababu nimenuia kabisa hili suala lazima nilitatue mwaka huu. Najaribu kuendelea kutambua watu ambao wanaweza kunisaidia kwa sababu nguvu inayonishikilia naona inaendelea kukaza kamba kweli kweli yaani siyo utani.

Kiufupi, kuna siku moja nikiwa kijana mdogo nilikuwa napanda basi wakati naelekea kukaa kwenye siti njiani nikapishana na mtu mmoja amevaa baibui jeusi amejifunika hadi usoni. Ilikuwa ni hapa hapa Dar es Salaam. Nakumbuka hadi kituo nilichokuwa nimepanda. Wakati napishana naye akaniwekea vidole machoni. Mimi nikapata kama bumbuazi fulani hivi yeye nadhani akashuka.

Kiufupi, maisha yangu hayajawa sawa toka wakati huo. Mimi ni mtu mwenye uwezo sana kiakili ila hata chuo niliishia katikati tena GPA yangu ikiwa ya juu. Wenzangu wamesogea sana na wengine wanaitwa waheshimiwa sasa hivi wakati mimi nimekuwa mtu ambaye hata nijaribu vipi niko pale pale. Na hata familia yangu kiujumla ukianzia kaka na dada zangu wana hali fulani ya kuhangaika tu wote. Tungeweza kufanya mambo makubwa binafsi na hata pamoja ila hakuna tunaloweza kuonyesha mpaka sasa.

Story yangu ni ndefu sana na nimepitia mengi mno nisingependa kuyaelezea hapa.

Kuna wakati tukio hili huwa linaondoka kwenye fikra zangu ila kuna wakati vitu fulani vinatokea mfululizo halafu nakumbuka siku ile.

Mimi ni mtu wa maombi, najaribu sana kuwa hivyo. Sijakata tamaa na sitakata tamaa, lakini najiulizaga nitasubiri mpaka lini?

Naomba ushauri tafadhali. Hali yangu lazima ibadilike sasa hivi.
.
Huyo aliyekuwekea vidole kwenye macho aliona unamkodolea sana macho. Hivyo akakushika kukueleza kuwa alivyovaa si ajabu. Wewe ukachukulia ni uchawi.
 
Endelea kuamini maombi kuwa yatakusaidia
 
Haiishii kwa wachungaji, maombi, kanisani au kwa babu?
 
Unanikataza nisilete mada wewe nani humu? Hivi unasoma unachoandika wewe? Mimi kwa umri wangu asubuhi yote hii niamke kuleta story za kijiweni ili nifaidike nini? Tuheshimiane kidogo basi
We umelogwa na ndugu zako nenda kanisani usihusishe vazi na ushirikina.
 
.
Huyo aliyekuwekea vidole kwenye macho aliona unamkodolea sana macho. Hivyo akakushika kukueleza kuwa alivyovaa si ajabu. Wewe ukachukulia ni uchawi.

Labda unalosema ni kweli lakini kwa nini umekuja na conclusion hiyo na siyo ya kwangu? Nilikuwa bwa mdogo sana kufikiria lolote wakati ule. Tukio nililisahau au sikuliweka katika mawazo yangu kabisa mpaka baadae miaka ikapita ndiyo nikagundua kuna vitu vinavyoshabihiana vinajirudiarudia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom