Kuna tofauti kati ya mkono wa sweta na kukata suna? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tofauti kati ya mkono wa sweta na kukata suna?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by joel amani, Aug 22, 2012.

 1. j

  joel amani Senior Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jf naomba nifaham zaidi mana huwa najiuliza sana,hivi katika kufanya sex hawa akina dada wanapata hutofauti gani wanapokuwa wanafanya ngono na mwanaume aliyetahiriwa au asiyetahiriwa? licha ya kwamba ya govi lina sura mbaya kama pua ya nguruwe ila ipi tamu zaidi kwao kwenye lovemaking?
   
 2. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jaman jaman............kha
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  mie mtazamaji tu hapa...
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Khaaaaa!
   
 5. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Duh!Sura Mbaaya Kama...?,Hivi Unaujua Mvuto Wa Pua Ya Nguruwe Wewe??
  Wenye Magovi tunalo!
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  govi/mkono wa sweta, kutahiliwa suna. Wewe kwa mawzo yako ni nini unadhani poa. mia
   
 7. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,075
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Looh!!Nadhani mwenye sweta anafaidi mara mbili si unajua tena ile ngozi inapofunguka we acha tu,ila kwa kuwa wamo humu wafunguke please
   
 8. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  On my Book knowledge, Aliyekatwa sunnah ndiye anaweza kuisugua G-Spot ipasavyo. Mkono wa sweta kichwa chake kinakuwa kina Highly sensitivity, so ease to ejaculate wakati mwanamke hajatosheka.
   
 9. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Fungukeni jamani. Mimi nadhani wa kuulizwa ni wanawake ambao wamewahi kukutana na mwanamume mwenye govi na wale wasio lao. Tuambieni jamani ipi bora zaidi?
   
 10. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Tofauti anapaswa kuiona mwenye huo mkono wa sweta, akitahiriwa baadaye ukubwani. Mwanamke huwezi kuona tofauti yoyote wakati wa intercourse. Tofauti inaletwa na size ya dick, ubunifu na muhimu kuliko vyote jinsi unamvyomfeel huyo partner wako.
   
Loading...