Kuna tofauti ipi kati ya Database Administrator na Database Developer, na ni vitu gani/mambo yapi muhimu anatakiwa afahamu?

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Huu ni mjadala utakaopendeza ikiwa wadau mbalimbali mtahusika katika kuufafanua.

Naomba usichoke utakapokuwa ukiulizwa swali baada ya kutoa jibu.

Hoja kwa hoja ushabiki pembeni.

Mambo ya kuzingatia unapochangia mjadala huu.

1. Mazingira
2. Mitaala ya kielimu.

Watu wa computer science, watu wa information and communication technology, watu wa information science, na wabobezi (specialist) wa field hizi mbili. nk
 
Database Developer - Huyu mtu ana maintain au design database
Database administrators - Huyu ana update database eg: kuongeza column kwenye table etc
 
maintain au design database
Unaweza kutuelezea kidogo kwa kutumia mfano yaani ku maintain kuna kuaje na ku design kuna kuaje kama vile ulivyotoa mfano kwa Database administrator, tusaidie hapa.
 
Kwa uelewa wangu Mdogo, database developer ni mtu anayedesign au kuunda database na ndie anayejua neurological arrangement ya mfumo from scratch.

Na database administrator ni anayesimamamia utendaji kazi wa database baada ya developer kumaliza Kazi yake. Administrator anapewa maelekezo na developer juu ya namna ya kusimamia mfumo ikiwa ni Pamoja na accessibility right and password.

KWA ufupi developer anaunda mfumo ambao ni customizable na administrator anaucustomize kulingana na mahitaji yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okey, wadau karibuni kwenye mada, Nafikiri itasaidia Sana katka ufafanuzi wa term hizi mbili, tunaweza angalia mazingira pia, Kama Kuna mazingira yanaruhusu profession hizi kuwa tofauti Kama zulivyo au la!
 
Back
Top Bottom