Kuna tofauti gani kati ya "Secretary General" na "General Secretary"? Kwanini Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) haitwi "General Secretary"?

Mkuu, ina maana haya maneno mawili yanaweza kutumika "interchangeably"?
Of course, No fundamental deferences japo mara nyingi "secretary general" wanaweza kuwa wanaitumia sana wazungumzaji kwenye mikutano yao wanapo mu adress katibu mkuu live akiwepo ndani ya vikao.

Na "General secretary" inaweza kuwa inatumika zaidi kwenye uandishi
But still there no fundamental difference to me
 
Maneno yote kwa tafsiri ya Kiswahili ni Katibu Mkuu, ambaye ni Afisa Mkuu au kiongozi wa chama cha siasa au shirika.

Kwa lugha ya Kiingereza, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anaongezewa neno "The", ambalo hutumika kama kiunganishi cha nomino (noun) yenye upekee (specific). Umoja wa Mataifa ni Taasisi ya kipekee duniani, kwani kuna Taasisi na vyama vingi vya siasa vyenye Katibu Mkuu.

Kwa kiingereza kwa mfano hawasemi "earth" (dunia), bali "the earth" kwa maana kuwa dunia ni kitu pekee katika sayari
Kwangu naona uko sahihi, neno 'The' ni high degree, upekee (large extent/great extent)
 
Kwangu naona uko sahihi, neno 'The' ni high degree, upekee (large extent/great extent)
Hili neno "The" sio mimi niliyeliweka bali ni Mods ndio wame-edit na kuliweka.

Hata kama mimi nilipata division 4 ya mwisho kidato cha nne miaka kadhaa nyuma, kweli nisijue tofauti ya kuweka na kutokuweka "The" katika sentensi au neno?
 
Maneno yote kwa tafsiri ya Kiswahili ni Katibu Mkuu, ambaye ni Afisa Mkuu au kiongozi wa chama cha siasa au shirika.

Kwa lugha ya Kiingereza, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anaongezewa neno "The", ambalo hutumika kama kiunganishi cha nomino (noun) yenye upekee (specific). Umoja wa Mataifa ni Taasisi ya kipekee duniani, kwani kuna Taasisi na vyama vingi vya siasa vyenye Katibu Mkuu.

Kwa kiingereza kwa mfano hawasemi "earth" (dunia), bali "the earth" kwa maana kuwa dunia ni kitu pekee katika sayari
... badala ya kujibu swali unaanza kufundisha definite and indefinite articles; hayo yanaeleweka na sicho alichouliza. Dah!
 
Ndio bora apitishwe tu amefanya kazi kubwa kumpinga Magufuli ni kujidhalilisha tu.
 
Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu hadi mababu na mabibi watanilaani Kura na Rais Magufuli tu.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kuna tofauti gani kati ya "Secretary General" na "General Secretary"? Kwanini katibu mkuu wa umoja wa mataifa (UN) haitwi "General Secretary"?

Tafadhali tazama screenshots hapo chini;

The Secretary General
View attachment 1575007

The General Secretary
View attachment 1575008

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Bwana mdogo Infantry soldier hebu soma hapa chini:-

Screenshot_20200920-194312.png
 
Maneno yote kwa tafsiri ya Kiswahili ni Katibu Mkuu, ambaye ni Afisa Mkuu au kiongozi wa chama cha siasa au shirika.

Kwa lugha ya Kiingereza, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anaongezewa neno "The", ambalo hutumika kama kiunganishi cha nomino (noun) yenye upekee (specific). Umoja wa Mataifa ni Taasisi ya kipekee duniani, kwani kuna Taasisi na vyama vingi vya siasa vyenye Katibu Mkuu.

Kwa kiingereza kwa mfano hawasemi "earth" (dunia), bali "the earth" kwa maana kuwa dunia ni kitu pekee katika sayari
Mmmmh mwanakwetu....ya kweli hayo?
 
Umeongeza swali lingine.

The ni kiunganishi cha nomino? Elezea mkuu.

Nachojua the ni article.

Fafanua kama hautojali.
 
Ndio bora apitishwe tu amefanya kazi kubwa kumpinga Magufuli ni kujidhalilisha tu.
Kama baada ya miaka 5 bado hatujamuelewa Meko anahakikisha kwenye Kampeni za mwaka huu anaweka wazi HULKA yake.

Tusijekulalamika akichukuwa Urais 2020-2025.

*Ukimpigia Kura mpinzani utalipa kodi kama kawaida lakini usitengeme huduma za Serikali*

28/10/2020 Kazi kwetu!
 
Asante sana kaka mkubwa Mokaze lakini maelezo yako pamoja na yale ya ndugu yangu mwengeso yanakinzana sana mkuu.

Jaribu kusoma ufafanuzi wake kisha utaona mkuu.

Nadhani hata yeye amepata nafasi ya kusoma..

Nilivyoelewa mimi ni kwamba, unaposema fulani ni General secretary, yeye ndiye anakuwa yupo juu kabisa kiutawala au kiuongozi katika taasisi au kitengo fulani, mfano chama cha kisiasa nk.

Na unaposema fulani ni Secretary general, maana yake katika hiyo taasisi au kitengo yupo kiongozi mwingine juu yake, mfano katika UN huwa kuna Rais wa kikao kikubwa kabisa cha UN ambacho ni Baraza kuu (The general assembly) nacho hufanyika kila mwaka na marais na viongozi mbalimbali wa dunia huudhuria (Magu sijui kama aliwahi kuhudhuria 🤣), kikao hicho huuongozwa na Mtu aliiyeteuliwa/kuchaguliwa naye huitwa RAIS.
 
Umeongeza swali lingine.

The ni kiunganishi cha nomino? Elezea mkuu.

Nachojua the ni article.

Fafanua kama hautojali.
Elimu haina mwisho, kabla sijakujibu, nambie "The" ni "Article" kwa vipi?
 
... badala ya kujibu swali unaanza kufundisha definite and indefinite articles; hayo yanaeleweka na sicho alichouliza. Dah!
Asante kwa kunisahihisha. Kama mleta mada alivyodai "mods" wamebadilisha alichouliza, nimemjibu ipasavyo
 
Wakati mwema mkuu...badala ya kunijibu unaanza stori.
Mkuu Darby wewe ni mkongwe katika JF, hivyo basi nategemea kutoka kwako majadiliano yenye uhai, tija na kuelimishana. Tufanye hivyo.

Mimi si mtaalamu bingwa wa lugha lakini nina ufahamu kiasi wa matumizi ya mofimo ya lugha. "Article" au kwa kiswahili kivumishi, hatutumii sana kwenye Kishwahili kama Kiengeleza chenye maneno kama hilo la "the" nayo ni "a/an". Hutumiwa kabla ya nomino isiyo au ina upekee ili kuirekebisha na kuipa umuhimu unaostahili.

Maelezo zaidi utapata kwa mabingwa wa lugha.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom