Kuna tofauti gani kati ya madini ya chuma yanayopatkana kwenye chakula na chuma chenyewe kama vile nondo n.k?

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Watalam wa Kemia nawakaribisha ili muweze kunielimisha ingawa najua sio mimi peke yangu ni wengi ambao hawajui!

Karibuni mtupe elimu, maana tusje tukawa tunakula vyuma kama vile nondo na bati tukizani tunaongeza virutubisho mwilini.
 
Ni swali zuri, binafsi pia nafarijika watu wakiwa wanajiuliza maswali kama haya ya kisayansi zaidi kutaka kufahamu kwann hiki kipo vile au kwann majani yana rangi ya kijani isiwe bluu, na maswali mengine ya dizaini hii.

Ni maswali mepesi ila majibu yake yanahitaji upembuzi wa hali ya juu ya kisayansi kuyajibu na uzuri sayansi imeweza kuyatafutia majibu na maswali mengine magumu ambayo hayajapata majibu mpaka sasa yakiendelea kufanyiwa utafiti mbali mbali kama vile "kitu gani kilisababisha kutokea kwa Bing Bang na kusababisha kuzaliwa kwa Ulimwengu (Universe)!?" au swali kama vile "Are we alone in the entire Universe!? (Human Civilization)"

Baada ya maelezo mafupi nirudi kwenye mada ya swali lako utofauti kati ya Madini ya chuma yanayopatikama kwenye chakula (Iron supplements) na yanayopatikana kwenye nondo na chuma (Iron Ores)

Kiuhalisi ni kwel, Madini ya chuma hayo yanayotumika as Iron nutritional ndio hayo hayo yanayopatika katika nondo na chuma.

Swali utofauti upo wapi sasa!?

Kwanza tukienda kikemia zaidi
Iron as element ipo denoted as Fe inapatikana mara nyingi ingawa na valency aina mbili Fe2+ and Fe3+.

Kiwango (Concentrations) cha Madini ya chuma kinachotumika kama iron supplements ni kidogo mno ndio maana wanaita "Micro-nutrients" ambacho kinapatikana either ikiwa katika oxidized form or Reduced form only katika vyakula haswa jamii ya majani kama mchicha na kadhalika au pia kupitia dosage forms ya virutubisho vya madini ya chuma sio nje ya hapo!

Kwa maana hiyo sitegemei ukachukua chuma/nondo ambao hapa inapatikana Bulk form of Iron sio as a micro nutrient Iron, ukaiponda ponda na ukataka kunywa, of coz utapata madini ya chuma lakini hayatakuwa katika form ambayo mwili utaweza kuyanyonya (absorption) na kuyafanyiwa kazi sana sana utapaswa kwenda hospitali ukapatiwe matibabu!

So Cha kuzingatia ni kwamba mwili unauwezo wa kufanyika kazi Madini ya chuma ambayo yapo katika mfumo wa Micro-nutrient (Iron supplements) sio katika Bulk form ya Madini ya chuma yanayopatikana katika nondo na kadhalika, japokuwa yote yametengenezwa na aina moja ya element, Iron (Ferrous - Fe).

Natumaini unaweza umepata uelewa kwa kiasi chake!
 
Je kwenye majani hayo madini yanaingia au kupatikana vp?
 
Mmea nao unakula ndugu kama unavyokula wewe
Hayo madini yanausaidia pia katika ukuaji wake
Na sehemu kuu ya kupitia ni mizizi yake na kutawanywa hapo njia mbili diffusion au osmosis

Hii nakumbuka biology ya form two katika nutrition
 
Ni swali zuri, binafsi pia nafarijika watu wakiwa wanajiuliza maswali kama haya ya kisayansi zaidi kutaka kufahamu kwann hiki kipo vile au kwann majani yana rangi ya kijani isiwe bluu, na maswali mengine ya dizaini hii.

Ni maswali mepesi ila majibu yake yanahitaji upembuzi wa hali ya juu ya kisayansi kuyajibu na uzuri sayansi imeweza kuyatafutia majibu na maswali mengine magumu ambayo hayajapata majibu mpaka sasa yakiendelea kufanyiwa utafiti mbali mbali kama vile "kitu gani kilisababisha kutokea kwa Bing Bang na kusababisha kuzaliwa kwa Ulimwengu (Universe)!?" au swali kama vile "Are we alone in the entire Universe!? (Human Civilization)"

Baada ya maelezo mafupi nirudi kwenye mada ya swali lako utofauti kati ya Madini ya chuma yanayopatikama kwenye chakula (Iron supplements) na yanayopatikana kwenye nondo na chuma (Iron Ores)

Kiuhalisi ni kwel, Madini ya chuma hayo yanayotumika as Iron nutritional ndio hayo hayo yanayopatika katika nondo na chuma.

Swali utofauti upo wapi sasa!?

Kwanza tukienda kikemia zaidi
Iron as element ipo denoted as Fe inapatikana mara nyingi ingawa na valency aina mbili Fe2+ and Fe3+.

Kiwango (Concentrations) cha Madini ya chuma kinachotumika kama iron supplements ni kidogo mno ndio maana wanaita "Micro-nutrients" ambacho kinapatikana either ikiwa katika oxidized form or Reduced form only katika vyakula haswa jamii ya majani kama mchicha na kadhalika au pia kupitia dosage forms ya virutubisho vya madini ya chuma sio nje ya hapo!

Kwa maana hiyo sitegemei ukachukua chuma/nondo ambao hapa inapatikana Bulk form of Iron sio as a micro nutrient Iron, ukaiponda ponda na ukataka kunywa, of coz utapata madini ya chuma lakini hayatakuwa katika form ambayo mwili utaweza kuyanyonya (absorption) na kuyafanyiwa kazi sana sana utapaswa kwenda hospitali ukapatiwe matibabu!

So Cha kuzingatia ni kwamba mwili unauwezo wa kufanyika kazi Madini ya chuma ambayo yapo katika mfumo wa Micro-nutrient (Iron supplements) sio katika Bulk form ya Madini ya chuma yanayopatikana katika nondo na kadhalika, japokuwa yote yametengenezwa na aina moja ya element, Iron (Ferrous - Fe).

Natumaini unaweza umepata uelewa kwa kiasi chake!
Uko vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom