Kuna tofauti gani kati ya dawa za PEP na ARV

Eti wadau kuna TOFAUTI GANI KATI ya DAWA za HIV Kati ya PEP na ARV?
ARV ni dawa za kufubaza ukuaji wa virusi vya UKIMWI. Dawa hizi pia huweza kutumika kuzuia maambukizi kwa mtu aliye kwenye hatari ya kuambukizwa, mfano nesi aliyejichoma sindano bahati mbaya aliyotumia mtu mwenye VVU au mtu aliebakwa.

ARV ikitumika kwa dharura kama nilivyotoa mfano hapo kwa nesi au mtu aliebakwa ndio tunasema imetumika kama Post Exposure Prophylaxis (PEP).

I stand to be corrected.
 
Real
 
Back
Top Bottom