Kuna tofauti gani kati ya Bachelor of science in education na bachelor of science with education

w ezy

Member
Oct 8, 2015
6
2
Tofaut kati ya BACHELOR OF SCIENCE IN EDUCATION na BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION kwenye field opportunities.
 
Mi nnazozijua mimi ni Bachelor of education in science na Bachelor of science with education..kwa swali lako acha tuwasubiri wajuzi
 
Ukisoma bachelor of science in education yaani unasomea kitu Fulani kinachohusu elimu tu na hurusiwi kuhama fakati unapotaka kujiendeleza zaadi ya elimu tu mfano bs in ed lakini with unaweza kuhama fakati unapenda kuongeza elimu mfano under graduate to post graduate
 
ongezea kuwa in education anakuwa na somo moja LA kufundisha wakat with education mawili
 
Neno " WITH" lamaanisha not only education in such field but there's other fields you can deal WITH.... but kwa neno "IN" means only .... Nadhan umenielewa
 
In means mwalimu kabisa yaani unafundisha au kujihusisha na maswala ya elimuu tuu, but with hapo unawezajiendeleza katika fields nyingne za masomo yako, in means field of education forever
 
Back
Top Bottom