Kuna Timu moja Tanzania imebakiza Kumsajili Mpiga Solo Dally Kimoko na Rapa bora kwa sasa DR Congo aitwae Gesac

Mmeshaanza kuweweseka. Ngoja msimu wa ligi uanze ndipo mtakapo chezeshwa kweli hiyo ndombolo ya solo wakati mko busy jikoni mkitupikia biriani.
 
Yaani Jf inapoteza ubora sana kwa kizazi hiki Yani jitu linaandka pumba mpk unakaa unawaza hivi kwa akili hii kwann CCM wasiseme katiba si hitaji la nchi wala watanzania pia kwann tozo zsiwe maradufu Tu maana nchi hii imejaa majitu majinga majinga sn acha wanasiasa wapge hela Tu kupitia raslimali wacha wanufaike Tu na familia zao

Kwa akili Hz hata bambo anaweza akawa Rais na maisha yakasonga KBS ona pumba alizoandka huyu kiumbe sasa mpk nawaza hapa hivi ni usimba na uyanga ndo umeleta bandko lake au pia ni tahira Tu

Anyway vizuri
 
Wote wewe na mleta uzi mna matatizo yanayohitaji matibabu

Unaongea kwa hasira sana jambo lenyewe utani!!
Yaani Jf inapoteza ubora sana kwa kizazi hiki Yani jitu linaandka pumba mpk unakaa unawaza hivi kwa akili hii kwann CCM wasiseme katiba si hitaji la nchi wala watanzania pia kwann tozo zsiwe maradufu Tu maana nchi hii imejaa majitu majinga majinga sn acha wanasiasa wapge hela Tu kupitia raslimali wacha wanufaike Tu na familia zao

Kwa akili Hz hata bambo anaweza akawa Rais na maisha yakasonga KBS ona pumba alizoandka huyu kiumbe sasa mpk nawaza hapa hivi ni usimba na uyanga ndo umeleta bandko lake au pia ni tahira Tu

Anyway vizuri
 
Mleta mada mimi si mpenzi wa utopolo ila nimegundua kuna watu wana akili sana huko utopolo.

Kwa tabia tu,wa Congo wakitaka jambo lao huwa hawashindwi.Wana spirit ya kupambana hata kwenye mazingira magumu.Sio wepesi kukata tamaa.Wana vipaji.

Huwezi kulinganisha na nchi nyingine kama Malawi,Kenya au Uganda
Kisha baadae huenda hata Jina lake likabadilika na ikaitwa Jangwani Mpili Utopolo Music Band a.k.a Mafuriko Original.
 
Yaani Jf inapoteza ubora sana kwa kizazi hiki Yani jitu linaandka pumba mpk unakaa unawaza hivi kwa akili hii kwann CCM wasiseme katiba si hitaji la nchi wala watanzania pia kwann tozo zsiwe maradufu Tu maana nchi hii imejaa majitu majinga majinga sn acha wanasiasa wapge hela Tu kupitia raslimali wacha wanufaike Tu na familia zao

Kwa akili Hz hata bambo anaweza akawa Rais na maisha yakasonga KBS ona pumba alizoandka huyu kiumbe sasa mpk nawaza hapa hivi ni usimba na uyanga ndo umeleta bandko lake au pia ni tahira Tu

Anyway vizuri

Povu lote la nini sasa wakati hapa watu wanafurahia utani wa jadi.
 
Back
Top Bottom