Kuna tetesi kwamba kuanzia kesho kutakua na uhaba wa petrol na diesel pia luku itapiga chini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tetesi kwamba kuanzia kesho kutakua na uhaba wa petrol na diesel pia luku itapiga chini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rumishaeli, Oct 25, 2011.

 1. Rumishaeli

  Rumishaeli JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wana JF
  Kuna tetesi kuwa kuanzia kesho diesel na petrol vitakosekana, nimejaribu kufuatilia miji ya dar na arusha ni kweli jioni hii kuna foleni kwenye vituo vya mafuta, hili litapelekea mitambo ya TANESCO inayotumia mafuta kutozalisha umeme na kama tunavyojua TANESCO wamejiandaa kupiga chini mtandao wa luku ili kupunguza matumizi. Kujiweka sawa hakikisha kama una gari unanunua mafuta leo pamoja na umeme kwa wale wanaotumia LUKU. Mwenye habari zaidi atujulishe.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  wanazipiga chini kwa staili ipi hizo luku, kwani zina wagharimu nini jamani hawa kilonesco!!!!
   
Loading...