Kuna tetesi kamanda Siro ahamishwa Mwanza

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
Kuna habari zisizo lasmi na zilizo sambaa mitaan hapa Mwanza ya-kwamba kamanda wa mkoa wa Mwanza amehamishwa.Kama kunamweye taharifa lasmi tunaomba atujulishe,kwani kama ni kweli hili litakuwa pigo kubwa sana kwa wapenda demokrasia wa mkoa wa Mwanza.
 
Hii habari ni confirmed Mwananchi Jumapili wamemkariri IGP Saidi Mwema akitoa taarifa ya kuhamishwa/kupandishwa vyeo makanda kadhaa wa Poolisi. Sirro anakwenda dar kuongoza kitengo cha operesheni maalumu kama sikosei.
 
Ni uhakika hata tbc taifa habari sa 10jioni hii wametangaza,rpc wa tabora barlow ndie anachukua nafasi ya sirro mwanza,nipigo kubwa kwa jiji lamwanza,sirro aliweza kudhibiti uhalifu naujambazi jijini mwanza nahic nipigo kubwa kwa wakazi wa mwanza.
 
Kuna habari zisizo lasmi na zilizo sambaa mitaan hapa Mwanza ya-kwamba kamanda wa mkoa wa Mwanza amehamishwa.Kama kunamweye taharifa lasmi tunaomba atujulishe,kwani kama ni kweli hili litakuwa pigo kubwa sana kwa wapenda demokrasia wa mkoa wa Mwanza.

Vipi mkuu, ulikuwa na haraka ya kujiongezea posts au???
 
Vipi mkuu, ulikuwa na haraka ya kujiongezea posts au???
Zaratustra asante kwa kuni sahihisha ni kweli nikuwa na haraka ya kupata uhakika wa hiyo taarifa ili nijilidhishe kama ni-ya-kweli,na kuhusu hilo suala na kujiongezea posts,naomba nikuharifu ya-kwamba sikujiunga na JF ili kutuma post nyingi,lengo langu ni kupanua ufaham wangu ktk mambo malimbali kutoka kwa watu makini wanao-patikana hapa JF lakini ninashaka kama na wewe ni mmoja wao!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom