Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

Leo nlikuwa nangalia youtube kuna wamama walikuwa wa naongea mara mmoja akasema mwanamke wa kiafrica hatakiwi kuchelewa kuamka. Anatakiwa aamke mapema saa 12 asubuhi 🤔 Nimeshangaa sna. Kwani kuna tatizo lolote mwanamke akichelewa kuamka?

Mfano mimi km siku nko free siendi shule nakuwa nachelewa kulala. Nalala saa tisa au saa kumi usiku. Nikalala muda huo nachelewa kuamka. Naamka saa sita au saa saba mchana. Na nyumbani hakuna mtu yeyote anaesema ati kwann nachelewa kuamka. Kwetu ni kawaida sna km hauna kazi, ukitaka ata usiamke hakuna mtu atasema.

Nimeshangaa hawa wamama wanasema msichana km anachelewa kuamka mwagie maji ya baridi. Ni tabia mbaya kuchelewa kuamka. Kwaiyo Mtu ata km huna kazi kwa vile tu mwanamke ndo uamke mapema? Unaamka mapema unafanya nn sasa? Au unaenda wap? Mawazo mgando tu
Unaamka mapema unaenda wapi wakati huna kazi, huna lakufanya asubuhi au unatafuta sifa. Tena unatakiwa huwe unaamka saa mbili usiku unakula unalala tena unaamka usiku siku inayofuata hakuna namna maisha ni haya haya.
 
Huko ni kwenu tofauti na sisi wengine ukilala sa 10 hakikisha unaamka sa 12 kasoro
 
Hii mada ni nzuri sema haijajadiliwa vizuri watu wameichukulia poa.
Labda sababu mleta mada kasema yeye ni mwanafunzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom