Kuna tatizo la kutumia feni mara ka mara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tatizo la kutumia feni mara ka mara?

Discussion in 'JF Doctor' started by Fmewa, Jul 5, 2012.

 1. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari za leo ndugu zangu.
  Leo nimeona nije kupata ushauri kuhusu matumizi ya feni. Kila mara ninapolala usiku huwa natumia feni hiii ni kwa sababu ya hali ya joto la Dar Es Salaam ila ninasikia tetesi kuwa kuna matatizo kwa kutumia feni mara kwa mara nami nimekua na hofu kwa kua ninatumia feni kwa zaidi ya miaka mitatu sasa
  Sasa naomba ushauri wa kitaalamu kuhusu jambo hili je inasababisha matatizo ya kifua? tafadhali mwenye ushauri anisaidie na kama kuna matibabu ambayo naweza kuyapata kabla matatizo hayajawa makubwa.
  Asanteni sana
   
 2. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ndiyo kuna matatizo.
  Feni hukusanya vumbi laini na kulizungusha ndani ya chumba.
  Ukivuta hilo vumbi linajikusanya kifuani na baada ya muda utaanza kupata tatizo la kuumwa kifua. Pia mafua huja kutokana na vumbi.
  Nakushauri usitumie feni unapolala. Weka nyavu kwenye madirisha kama unaishi maeneo yenye joto.
   
Loading...