Kuna tatizo gani Umoja wa Vijana wa CCM

Miaka ya huko nyuma Umoja huu wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ulisifika sana kwa kuandaa viongozi bora , wenye weledi na uongozi, wenye maarifa, uzalendo na nchi yao, wachapa kazi na wenye misingi ya haki, utu na maadili ya kutosha mfano wa ni pamoja na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi anayehudumu Wizara ya Ardhi Mh. William Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro waa sasa Martin Shigella.

Lakini miaka ya hivi karibuni Umoja huo umekuwa ukitoa viongozi wasio sifa wenye na mifano mmibaaya kwa Taifa, mf. mwaka 2014 Paulo Makonda aliyepikwa kwenye umoja huo alimpiga vibao Waziri Mkuu M staafu Jaji Joseph Sinde Warioba. Mwaka 2015 tukamwona aliyekuwa Mwenyekiti wa muda mrefu Dr.Emmanuel Nchimbi akipinga maamuzi ya Halmashauri Kuu ya Chama na kuongoza kikundi wakiimba wana imani na Lowassa.

Alipoingia Magufuli kwenye uenyekiti wa chama na kumpa mpwa wake kuongoza umoja huo, Kheri James naye akatoka adharani na kutishia kuwandunga watu wa upinzani na sindano za sumu. Aliyekuwa Mwenyekiti wa umoja huo mkoa wa Arusha 2017, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa kesi ya forgery kujifanya usalama wa Taifa na sasa yupo Kisongo na kesi ya kuendesha genge la wahalifu.

Je nini kumetokea ktk UVCCM imeacha kupika viongozi wazuri na sasa kutengeneza wahalifu, wapiga deal na wachumia tumbo?
Vijana wengi 99% walioko huko ni Fools.
 
nilimshuhudia kijana mmoja wa uvccm...yule aliyeshinda kura za maoni Kawe kisha baadaye wakampa Gwajima....yule kijana hajui siasa na uongozi au alileweshwa na aliyekuwa madarakani.....
Kiufupi kuna ombwe kubwa la utashi, elimu, kipawa na hekima kwa viongozi wetu kila chama kina watu wazuri na majasiri tatizo ni nayekupa mafasi ya uongozi anataka ufanye nini. Kipindi cha TANU/CCM ya Nyerere vijana walifanya makubwa sana....nimesoma Salmini alikuwa mwanadiplomasia makini ktk umri mdogo hadi kuteuliwa kuwakilisha Tanzania nchini Cuba angali hajafikisha hata miaka 30.
 
Ndiyo maana hata ccm wenyewe walifikia hatua ya kuchukua vijana kutoka upinzani na kuwapa uwaziri.

Juliana Shonza.
David Silinde
Pauline Gekulu
Katambi
Hiyo haitoshi baada ya CHADEMA kususia bunge ccm wakajua hawatakuwa na bunge bila uwepo wa CHADEMA ikabidi wafanye blackmail kupata wabunge kutoka upinzani.

CCM ilikufa siku nyingi sana kama chama yaliyobaki ni magenge yanayotafuta madaraka tu.
 
nilimshuhudia kijana mmoja wa uvccm...yule aliyeshinda kura za maoni Kawe kisha baadaye wakampa Gwajima....yule kijana hajui siasa na uongozi au alileweshwa na aliyekuwa madarakani.....
Kiufupi kuna ombwe kubwa la utashi, elimu, kipawa na hekima kwa viongozi wetu kila chama kina watu wazuri na majasiri tatizo ni nayekupa mafasi ya uongozi anataka ufanye nini. Kipindi cha TANU/CCM ya Nyerere vijana walifanya makubwa sana....nimesoma Salmini alikuwa mwanadiplomasia makini ktk umri mdogo hadi kuteuliwa kuwakilisha Tanzania nchini Cuba angali hajafikisha hata miaka 30.
Tatizo limetokea wapi mbona kina Salim waliweza kwa umri mdogo na mwalimu kuwaamini?
 
Sijui nini kilitokea, nimesoma nae shule aliitwa Erick Ngambeki, nimekuja kumuona majukwaani akiitwa Heri James sijui nini kilitokea, labda alibatizwa.
Asante kwa ufafanuz mkuu kwa Hal hii bas wengi Sana wamefoj vyeti kwakwel wanaotuhumiwana skendo hizi n wengi Sana

Kuna mzee wangu mmoja ameniambia na kunihakikishia kabisa kwamba bwana AIDAN MWALUKO mzee wa KENDA Hilo siyo jina lake Kabisa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Miaka ya huko nyuma Umoja huu wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ulisifika sana kwa kuandaa viongozi bora , wenye weledi na uongozi, wenye maarifa, uzalendo na nchi yao, wachapa kazi na wenye misingi ya haki, utu na maadili ya kutosha mfano wa ni pamoja na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi anayehudumu Wizara ya Ardhi Mh. William Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro waa sasa Martin Shigella.

Lakini miaka ya hivi karibuni Umoja huo umekuwa ukitoa viongozi wasio sifa wenye na mifano mmibaaya kwa Taifa, mf. mwaka 2014 Paulo Makonda aliyepikwa kwenye umoja huo alimpiga vibao Waziri Mkuu M staafu Jaji Joseph Sinde Warioba. Mwaka 2015 tukamwona aliyekuwa Mwenyekiti wa muda mrefu Dr.Emmanuel Nchimbi akipinga maamuzi ya Halmashauri Kuu ya Chama na kuongoza kikundi wakiimba wana imani na Lowassa.

Alipoingia Magufuli kwenye uenyekiti wa chama na kumpa mpwa wake kuongoza umoja huo, Kheri James naye akatoka adharani na kutishia kuwandunga watu wa upinzani na sindano za sumu. Aliyekuwa Mwenyekiti wa umoja huo mkoa wa Arusha 2017, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa kesi ya forgery kujifanya usalama wa Taifa na sasa yupo Kisongo na kesi ya kuendesha genge la wahalifu.

Je nini kumetokea ktk UVCCM imeacha kupika viongozi wazuri na sasa kutengeneza wahalifu, wapiga deal na wachumia tumbo?
wamechanganyikiwa wasijue cha kufanya
 
Back
Top Bottom