Kuna tatizo gani kwa Wanawake wa Kihaya na Kizaramo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tatizo gani kwa Wanawake wa Kihaya na Kizaramo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ndibalema, Mar 10, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wana jamvi,
  Kuna kijana mmoja wa kiume ni kama mwanangu kwani baba yake ni rafiki yangu wa siku nyingi sana.
  Yupo katika harakati za kuoa.
  Yeye ni mtu wa kusini mwa Tanzania.
  Kuna kitu amenishangaza sana.
  Anasema wazazi wake wamemwambia aoe wanawake wote lakini asithubutu kumuoa mwanamke wa Kihaya na wa Kizaramo.
  Nimemuuliza sababu ameshindwa kuniambia (labda kwa sababu na mimi ni muhaya, kanionea aibu).
  Naomba niwaulize, kwani tatizo ni nini kwa wanawake wa Kihaya na Kizaramo?
  Mpaka makabila mengine yawaogope?

  Nawasilisha.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  maharage maji mara moja (soya beans)
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mmmh hapa pagumu kidogo ..mie najua wanaume wa kihaya ndo iko kazi kwa kweli bwana ..wa kike tena loh!! kuna kaka mmoja namuona hapa ukimwambia shati lako zuri .atakwambia shopping Uholanzi ..ukisema perfume yako inanukia vizuri umenunua wapi kwanza atakwambia price in USD or AUD na hakomei hapo utaambiwa hii ni Gucci Original ..kila kitu yeye matawi ...
  wakina dada sijui !!!
  Ndibalema usinimeze ati!
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,840
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  Wazaramo= Mafiga matatu
  Wahaya=game daily sasa husipokuwepo nani atatoa huduma ndio chanzo
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha Preta ya kweli hayo?
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hawaridhiki na starehe/hali ya maisha waliyochagua:D
   
 7. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,269
  Trophy Points: 280
  Kutokana na hadithi za kimapokeo...
  Wanawake wa kihaya hawajatulia. Wanawaita wahaya bila haya!
  Wazaramo hawawezi kuwa na mume mmoja-yale ya mafiga matatu!
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  hadithi za kimapokeo??
  mi naona ni maneno ya watu tu.
  kama kuna mtu alifanya utafiti na kugundua kuwa wazaramo ni mafiga matatu na wahaya 'hawajatulia' ajitokeze na atuwekee wazi.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  nadhani kutokana na umaarufu wa wahaya ndio maana inapotokea mhaya akawa maharage ya soya, iana'sound sana.
  Ni kama binadamu akimuuma mbwa ita'sound lakini mbwa akimuuma binadamu ni kawaida sana.
   
 10. R

  RAJABUHIJJA Member

  #10
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aah,kwa wanawake wa kihaya sijui ila kwa wazaramo naweza changia kwani mie nimeoa huko.Sijaona baya ila mapenzi motomoto tena yale ya kufunzwa.Kwa kweli ninafaidi na wala sina nguvu za kutoka nje ya ndoa.
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hongera bwnaa Rajabu ...nimeipenda hii!
   
 12. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ni kweli......maharage ye Mbeya, maji mara moja tu!
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa mhaya may be kutokana na kale kautamaduni ka katerero kama huyo kijana hataweza kukadumisha kuna uwezekano huyo mwanamke akaenda kukatafuta kwa wahaya wenzake na hasa kama alishawahi kuonjeshwa......Mzaramo kila siku ruhusa za kwenda ngomani ndio huko mafiga matatu....
   
 14. T

  Tall JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Na zile siku za Ijumaa...mkole, jumamosi.. ahh sjui nini na jumapili kumtoa Mwali huwa unamruhusu shem kila weekend akalale ngomani?
  USHAURI; mwambie atoe vizuizi vya makabila,KWA SABABU;
  1.Waliokulia mijini wengi hawafuati tabia za kwao,huyu atakuwa muhaya jina tu
  au mzaramo jina.
  2.Watu wana mawazo potofu juu ya makabila fulanifulani,ukweli ni kuwa mambo
  yanabadilika,mfano huko nyuma mkoa wa kagera ulikuwa na waathirika wengi wa ukimwi. lakini 2008 ilikuwa ya 16?(3.4%) waweza amini? kamchezo kale ka katerero
  wakaamua kukaacha. Mwaka huohuo Pwani ilikuwa ya 5.(5.3%)kitaifa,
  3. Hivyo hayo ni mawazo potofu kuwa kuna mabila furani yana tabia mbaya zaidi.Kwa mawazo yangu hawana matatizo yoyote hao wanawake wa kihaya na kizaramo.
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160

  Nakubaliana na wewe kabisa mkuu.
  Ila umesahau kumention kitu kimoja,
  Wahaya ni ma'bright.
   
 16. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kwa wazaramo sijui ila kwa wahaya najua kwamba ni watu wanaojua mapenzi then ni bright sana,kwani mimi nimeoa mhaya,naenojy maisha sana , maisha yangu yamekuwa ya juu na ya maendeleo makubwa sana.kwa kweli nafaidi sana
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha watu mna maneno ..ni aina gani hiyo ya maharage?
   
 18. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Labda wameona mtoto wao hata baiskeli hawezi kuendesha, sembuse Jet.

  Hizo kabila mbili ni mpaka uwe na License maalum. Ndiyo maana wahaya wanawezana, wazaramo wanawezana pia.

  Sasa safari imewadia na wewe kuendesha huwezi, hapo itabidi uendeshewe!!!!!!

  Watu kama Jacob Zuma hivi......ndo wanaweza kupunguza au kuondoa kabisa safari za ngomani, ngoma imo nyumbani sasa 'outside' ya nini???.

  Na si kwa jinsia moja hii inafanya kazi jinsia zote.

  Ngoja nikurushie nyingine dakika chache zijazo, kaa hapo hapo....utaelewa tu.
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Sijui ni aina gani, ila ni yale yanayoiva haraka sana! [​IMG]
   
 20. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  miaka ya nyuma kidogo pale maeneo ya magomeni makuti, palikuwa na wahaya kama ishirini na vibanda vya udongo na ilikuwa inapigwa biashara kwa bei poa sana, walikuwa wanaweka vibatari pale nje kama wanauza maandazi, na hiyo haikuwa dar tu kuna kipindi pia nilikuwa mwanza miaka hiyo ilikuwa same story, NADHANI KUTOKANA NA HIYO BIASHARA NDIO IKAONEKANA WAHAYA HAJATULIA. ni mtazamo wangu tu
   
Loading...