Kuna tatizo gan kweny tovuti ya Utumishi

J4junior

Senior Member
Feb 14, 2018
170
97
Jamn kila nikijaribu kuingia hapa www.ajira.go.tz ili nipate update za kazi majina ya usahili na majina ya kuitwa kweny vituo vya kazi ...ila kila nikiingia naambia ni set date and time na mm kila kitu kipo sawa sasa cjui shida ipo wap msaada tfadhal wana jf
 
Tumia opera mini andika psrs tz then enter zitakuja links nyingi nyingi ingia kwenye link ya kwanza kati Ya zilizopo ambayo ni https://www.ajira.go.tz/ click enter tena baada Ya hapo yatakuja maandishi Ya blue yameandikwa approve ingia hapo itafunguka
 
ni kweli kabisa tangu tar. 8 hadi leo haifunguki kabisa .wanakwambia set date na time vipo mbele ya muda.
 
Back
Top Bottom