Kuna tani 10 za karanga za kichele, mteja anahitajika

TONY LOVE

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
720
378
Natumaini mpo wazima wa afya njema,

Husika na mada hapo juu, kuna father mkubwa ana "TAN" za karanga nyekundu na nyeupe yupo kwenye mchakato wa kuzikoboa, sasa kuna dogo anazisimamia kuzikoboa hizo karanga, kama kuna mteja wa kuweza kuchukua mzingo wote naomba tuwasiliane ili nimuunganishe na dogo wapange bei. Au kama unajua soko la karanga lilipo.

Naomba unifahamishe haraka.
 
Natumaini mpo wazima wa afya njema,
Husika na mada hapo juu, kuna father mkubwa ana "TAN" za karanga nyekundu na nyeupe yupo kwenye mchakato wa kuzikoboa, sasa kuna dogo anazisimamia kuzikoboa hizo karanga, kama kuna mteja wa kuweza kuchukua mzingo wote naomba tuwasiliane ili nimuunganishe na dogo wapange bei. au kama unajua soko la karanga lilipo naomba unifahamishe haraka.
Upo maeneo gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom