Asante kwa mrejesho tunaomba uzid kutupa updates ht wakiita..Bado ndio wapo kwenye screening. Nimeongea jana na mtu wa karibu sana.
Endelea kusubili watu wengine wakuajiri wakati wewe mwenyewe hautaki kujiajiriKwa mwenye taarifa kuhusu kuitwa kwenye interview MWAUWASA Mwanza, atujuze maana tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ilikuwa tarehe 23 mwezi wa 5 ila mpaka leo kimyaaaaaaaaa!!!!
Una uhakika na unachokisema???Endelea kusubili watu wengine wakuajiri wakati wewe mwenyewe hautaki kujiajiri
Endelea kusubili watu wengine wakuajiri wakati wewe mwenyewe hautaki kujiajiri