Kuna taarifa za kuitwa Interview MWAUWASA

kevoo 27

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
400
379
Kwa mwenye taarifa kuhusu kuitwa kwenye interview MWAUWASA Mwanza, atujuze maana tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ilikuwa tarehe 23 mwezi wa 5 ila mpaka leo kimyaaaaaaaaa!!!!
 
Wapi ni pale Iloganzara kwenye mradi huu mpya wa maji ya kwenda Misungwi na Magu au?
 
Kwa mwenye taarifa kuhusu kuitwa kwenye interview MWAUWASA Mwanza, atujuze maana tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ilikuwa tarehe 23 mwezi wa 5 ila mpaka leo kimyaaaaaaaaa!!!!
Endelea kusubili watu wengine wakuajiri wakati wewe mwenyewe hautaki kujiajiri
 
Endelea kusubili watu wengine wakuajiri wakati wewe mwenyewe hautaki kujiajiri
Una uhakika na unachokisema???
Sio kila anaeleta Uzi humu jf una muhusu mambo mengine tunafanya msaada kwa wanaotafuta ajira.
Be open minded acha mawazo mgando
 
Jamni tuwe wastaarabu mtu akiuliza kitu tujarbu kumjibu lkni tumpe ushaur kwa ustaarabu .akiamua kubdlika au la kaz kwak..lkn sio kumuingilia juu juu ..
 
Back
Top Bottom