Kuna style zinazo sababisha mwanamke asishike mimba?

ndo maana waga nashangaa kuna mdada kaolewa huu mwaka wa pili sasa , ujue kama mwanamke anaingia kwenye ovulation each month possibility ya kupata ujauzito ni kubwa ,,asa huyu bidada naona mumewe ana MACHINE GUN AK47 manake naona kizazi chake kimesukumwa hadi mgongoni , sababu anaingia kwenye ovulation kila mwezi lakini mimba kushney , dah wanaume sijui wanalifahamu hili ama wanafikiria tu ugumba , dah
 
jamani kizazi kikisogea ndani na kuzidi kusukumwa ndani si kitatokea puani?



Nasikia kuna style ambazo ukifanya na mwanamke zinasukuma kizazi ndani, na kadiri mnavyo fanya kwa muda mrefu ndio kizazi kinavyozidi kwenda mbali zaidi, na kizazi kinavyo zidi kwenda mbali ndo uwezekano wa mbegu za kiume kuingia kwenye kizazi unavyozidi kuwa mdogo.

Je usha yasikia haya? Je yana ukweli wowote ndani yake?
 
Hakuna zaidi ya kuwacha ku sex, mana ukifanya sex lazima mimba itaingia tu, au mwanamke akakitoe kizazi chake.
 
Namuomba Erotica aje hapa, uzoefu wake kwenye hii makitu unahusika, pia Bishanga,Ta Kamugisha na ruttashobolwa tunahitaji majibu yenu kwa sababu tumesikia mmefanya sana research kuhusu styles!

Baba V,ndugu Fillipo kamaliza kila kitu
 
ewiii mdomoni tena yani utoke kukojoa afu mii ninanliu khaaa uchafu gani huo , ila MBO ikiwa kubwa sana inasukuma kizazi mbali ,ila kwa wale wanaume waelewa wanashauriwa waende hospitali wanapewa ring flani hivi ambayo atavaa mwanaume , ambayo hulimit M..O kuingia yote kwenye nanlii otherwise mwanamke huenda akapasuka huko

Mh! Kuhusu ring umedanganya. Kitaalam ring ni kwa wale ambao mzigo unawahi kulala so wanavaa ring ili kuzuia damu iliyo mzigoni iendelee kusimamisha mtambo.
 
mh! Kuhusu ring umedanganya. Kitaalam ring ni kwa wale ambao mzigo unawahi kulala so wanavaa ring ili kuzuia damu iliyo mzigoni iendelee kusimamisha mtambo.

mi nasikisikaga wanaongea watu hee kumbe ndo hivyo dah kazi kweli
 
Daaaaah! Hadi namkumbuka Mwl. Wangu wa Biology enzi zile. Mmmmmh! Haya jamani edeleeni mi' hapo dish imetingishika, naona chenga tuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom