Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Nasikia kuna style ambazo ukifanya na mwanamke zinasukuma kizazi ndani, na kadiri mnavyo fanya kwa muda mrefu ndio kizazi kinavyozidi kwenda mbali zaidi, na kizazi kinavyo zidi kwenda mbali ndo uwezekano wa mbegu za kiume kuingia kwenye kizazi unavyozidi kuwa mdogo.
Je usha yasikia haya? Je yana ukweli wowote ndani yake?
Je usha yasikia haya? Je yana ukweli wowote ndani yake?