Kuna somo kubwa kwa watanzania kwa muswada unaopelekwa bungeni kuhusu hoja ya katiba mpya!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna somo kubwa kwa watanzania kwa muswada unaopelekwa bungeni kuhusu hoja ya katiba mpya!!!!!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mtu wa Mungu, Apr 3, 2011.

 1. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kongamano la UDASA jana Jumamosi tarehe 2, Machi 2011, limewaacha waTz midomo wazi, wakishindwa kuelewa dhamiri ya muswada huu!!!!!!!. Haiingi akilini kwa serikali yenye nia njema na mustakabali wa nchi kuweza kuandika muswada kama ule!!!!!!!!.Ni dharau kwa waTz;

  Mimi nina maono yafuatayo:-
  1: CCM na serikali yake inaelewa fika agenda ya siri iliyomo ndani ya muswada huo; hauna dhamiri njema kwa tafsiri ya mTz mwenye akili timamu, zaidi ya provocation of maandamano ili watumie nguvu ya dola kuzima maasi;
  2:CCM na serikali yake wamelenga kwamba muswada huo usipopita, basi watakuwa wamepata sababu ya kuendeleza delaying tactics mpaka mwaka 2020!!!!!!!!!!!!;
  3: CCM na serikali yake wanajenga mazingira ya machafuko nchini ili rais wao atangaze hali ya hatari, na kuanza utawala wa kidikteta!!!!!!;
  4: Kwa kuwa CCM na serikali yake hutawala kishirikina, mradi wa Loliondo umewaingiza mkenge katika hili-wakidhani kwamba hili ni taifa la mazezeta kwa vikombe vya babu wa Loliondo;
   
 2. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  mkuu huo muswada unaweza kutuwekea hapa na sisi ambao hatujauona tuuone?!
  Asante!
   
 3. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu wa Mungu: Kujaribu kuikemea Serekali na Chama chake ni Wajibu wa wengi wetu.Kama alivyoshauri Mkuu Nyanda tuwekee huo Mswaada hapa ubaoni ili tupate Mashiko na Chanzo cha Malalamiko.
   
Loading...