kuna software ya kubaini simu na sms zilizopigwa/tumwa hata kama zimefutwa??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna software ya kubaini simu na sms zilizopigwa/tumwa hata kama zimefutwa???

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wamichosho, Feb 9, 2012.

 1. w

  wamichosho JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kuna software ya kubaini simu na sms zilizopigwa/tumwa hata kama zimefutwa???
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Makampuni ya simu yanacopy za sms na call(voice) zote toka siku ya kwanza kuanza tumia line,Zipo software ambazo zinaweza kufufua (recovering) deleted SMS au namba zilizopiga/kupigiwa na sim card.au kurecover deleteds call logs na sms kwenye handset yenyewe.
  vipi tupo pamoja au unaitaji maelekezo zaidi?
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,754
  Likes Received: 7,017
  Trophy Points: 280
  i know kwa symbian nokia n au e na baadhi ya c na x series

  Symbian recorder inarikod call zote zinazoingia na kutoka

  Then ipo xsms inafanya backup ya message zote sema lazma uinstall python kwanza
   
 4. f

  fungamesa Senior Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Leta handset yako nina kifaa maalum kwa ajili hiyo au ni pm
   
 5. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  chief kwa c n x seriez ipoje iyo
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,754
  Likes Received: 7,017
  Trophy Points: 280
  hapo nimemaanisha c na x series za symbian kama c5 na x6 just google symbia recorder au install python then hio xsms
   
 7. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  jamani hapa tupo kujifunza mambo mbalimbali ambayo hatuyajui..u give knowledge u get knowledge...hizi habari za kusema nipm zinatoka wapi?...kama kukupm situtakupm wote ..sasa sibore utupe darasa kabisa.......najua wengi wanahitaji kujua hili..so kaka naomba utupe darasa tu
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kuna uwalakini hapa,

  bila shaka mtu anashutumiwa hapa,\

  kuaminiana muhimu ukiona anazingua chapa lapa.
   
Loading...