Kuna Siri gani ya Lonely man na Gay Kufanya mambo makubwa.

YALE

JF-Expert Member
Apr 20, 2017
308
379
Nikola Tesla anasema Energy ni kitu kinachopaswa kupatikana Dunia na kuwa transferred wireless anauunda mnara mkubwa huko New york kwa ajili ya kufeed electrical energy maeneo mbalimbali bila wire Wafadhili wake JP Morgan wanagomea kum fund aendelee na Project hii ila mpaka leo haijawah Implemented kwa case ya high voltage nafikiri haina ufanisi mkubwa kwa transmission,

James N Mattis Secretary of Department of Defense Amekuwa akiwaza Majeshi tangu utotoni mpaka sasa age imevuka pasipo kuwa na tamaa na kuoa mattis ni mtabe wa mishe za Military kweli kweli mpaka anaitwa The madd Dogg

Da vinci huyu ata nisimueleze mana anajulikana kwa kuwa Polymath he was not only talented but gifted too Amechora Picha ya Shoga mwenzie Ceaser na mpaka sasa picha hio inatumika mno dunia kumwakilisha nabii fulani..

Makao makuu ya FBI yanaitwa J Hoover Building yamepewa jina hilo kwa vile tu Mkuu Edgar Hoover ndio DG aliekaa muda mrefu FBI,

Leo tunasoma mambo ya Motion, calculus na Gravitational force hapa namzungumzia Newton, Kuna Public figure wengi sana ambao absolutely they changed our World Swali langu kwanini most of these smart Men ni either Lonely man yani hawakuwa kuoa au Walikuwa Homosexual yani washirika wa Mapenzi ya jinsia moja hao niliowataja na machache waliofanya ni miongoni mwa watu walio ktk kundi hili , Hawa watu wamechangia mambo makubwa mno ktk field zote kuanzia Mitindo, Dini, science,sanaa na Biashara.
Je mahusiano ktk ya watu wa separate gender hupunguza uwezo wa akili, Hapa sijazungumzia Kanisa kama Catholic ambalo lina impact kubwa na pengine imani nyingi zimetokea RC nao waliofikisha apo kuanzia wakina Ignatius they are all loney men.
 
Kuna watu wana focus na maisha ya ugunduzi au vinginevyo kiasi cha kuona mke na watoto watachukua muda wake mwingi.

Kunacwaziri mkuu wa Uingereza aliitwa Edward Heath hakuwahi kuoa wala kuwa na familia, na nyumba yake imekuwa miseum watu wanakwenda kuangalia maisha aliyoishi
 
Kuwa loney maana yake kuwa concentrated na jambo kuu muhimu,familia haiwezi ikakupa mda wa kufanya utulivu au kuconcetrate na kitu fulani, maana familia au uhusiano ni gharama ya muda na Mali,pia changamoto ni nyingi za kutatua ili familia au uhusiano uwe sawa.Ndo maana matajiri wengi wako bize na kutafuta mali,wavumbuzi wengi wako bize kuvumbua vitu.
 
Many of the genius men are sponsored by Lucifer himself, they work for him,

wapo busy kujenga hoja za kupotosha ulimwengu ili mkuu wao Lucifer atawale kirahisi, wanatumia sayansi na falsafa ili kuleta mageuzi duniani ambayo ni hasi au chanya.
they are luciferians
 
Kwa hiyo na wewe no member was Lucifer maana unavyovitumia no zao la ugunduz was hao wenye akili, hao watu waliumbwa na Mungu na kupewa akili ili kusaidia dunia
 
Kwa hiyo na wewe no member was Lucifer maana unavyovitumia no zao la ugunduz was hao wenye akili, hao watu waliumbwa na Mungu na kupewa akili ili kusaidia dunia
Ni sahihi kabisa ya kwamba Mungu kampa bin Adam akili ya kujitambua na kutawala dunia,

Lakini maarifa mengine yamefunuliwa na shetwani ili kurahisisha kueneza tabia ambazo zinamkwaza Mungu, mfano Simu hasa smart phones zina uwezo mkubwa wa kusambaza tamaduni na tabia kupitia internet hivyo mtu aliyepo Tanzania aweza kukopi tabia na mienendo iliyoko Uswis au kwingineko, ikiwa tabia na mienendo hiyo si myema basi mtu huyu atakuwa kaingia kwa ibilisi aidha kwa kujua au kutokujua.
mfano ushoga, usagaji ponografia n.k.
 
Kweli
 
Many of the genius men are sponsored by Lucifer himself, they work for him,

wapo busy kujenga hoja za kupotosha ulimwengu ili mkuu wao Lucifer atawale kirahisi, wanatumia sayansi na falsafa ili kuleta mageuzi duniani ambayo ni hasi au chanya.
they are luciferians

Hizi imani du!!!
Naona unamtukuza sana shetani na kumpa sifa kibao. Mungu ye hawezi kufanya hivyo ili kuendekeza ushawishi wake kwa binadam!?
 
Kuna watu wana focus na maisha ya ugunduzi au vinginevyo kiasi cha kuona mke na watoto watavhukua mudacwake mwingi.

Kunacwaziri mkuu wa Uingereza aliitwa Edward Heath hakuwahi kuoa na nyumba yakebimekuwa miseum watu wanakwenda kuangalia msisha aliyoishi
Madam siku izi umekuwa na mwandiko wa kikenya Hahahah
 
Ni sahihi kabisa ya kwamba Mungu kampa bin Adam akili ya kujitambua na kutawala dunia,

Lakini maarifa mengine yamefunuliwa na shetwani ili kurahisisha kueneza tabia ambazo zinamkwaza Mungu, mfano Simu hasa smart phones zina uwezo mkubwa wa kusambaza tamaduni na tabia kupitia internet hivyo mtu aliyepo Tanzania aweza kukopi tabia na mienendo iliyoko Uswis au kwingineko, ikiwa tabia na mienendo hiyo si myema basi mtu huyu atakuwa kaingia kwa ibilisi aidha kwa kujua au kutokujua.
mfano ushoga, usagaji ponografia n.k.
hakuna maarifa yanayofunuliwa na sshetani..acha wazimu
 
Back
Top Bottom