YALE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 308
- 379
Nikola Tesla anasema Energy ni kitu kinachopaswa kupatikana Dunia na kuwa transferred wireless anauunda mnara mkubwa huko New york kwa ajili ya kufeed electrical energy maeneo mbalimbali bila wire Wafadhili wake JP Morgan wanagomea kum fund aendelee na Project hii ila mpaka leo haijawah Implemented kwa case ya high voltage nafikiri haina ufanisi mkubwa kwa transmission,
James N Mattis Secretary of Department of Defense Amekuwa akiwaza Majeshi tangu utotoni mpaka sasa age imevuka pasipo kuwa na tamaa na kuoa mattis ni mtabe wa mishe za Military kweli kweli mpaka anaitwa The madd Dogg
Da vinci huyu ata nisimueleze mana anajulikana kwa kuwa Polymath he was not only talented but gifted too Amechora Picha ya Shoga mwenzie Ceaser na mpaka sasa picha hio inatumika mno dunia kumwakilisha nabii fulani..
Makao makuu ya FBI yanaitwa J Hoover Building yamepewa jina hilo kwa vile tu Mkuu Edgar Hoover ndio DG aliekaa muda mrefu FBI,
Leo tunasoma mambo ya Motion, calculus na Gravitational force hapa namzungumzia Newton, Kuna Public figure wengi sana ambao absolutely they changed our World Swali langu kwanini most of these smart Men ni either Lonely man yani hawakuwa kuoa au Walikuwa Homosexual yani washirika wa Mapenzi ya jinsia moja hao niliowataja na machache waliofanya ni miongoni mwa watu walio ktk kundi hili , Hawa watu wamechangia mambo makubwa mno ktk field zote kuanzia Mitindo, Dini, science,sanaa na Biashara.
Je mahusiano ktk ya watu wa separate gender hupunguza uwezo wa akili, Hapa sijazungumzia Kanisa kama Catholic ambalo lina impact kubwa na pengine imani nyingi zimetokea RC nao waliofikisha apo kuanzia wakina Ignatius they are all loney men.