Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

1 Kuwa mrefu ni kigezo cha ujentomeni ,
2 Urefu ni sekyurit kwa mwanamke
3 Mwamke hupenda kusikiliza mhemo ya kifua chwa mwanaume
4 Mwanamke hubembelezwa na mapigo ya moyo wa mwanaume wakiwa wamesimama au kulala
5 Pia mwanaume mrefu tuna joto nikimaanisha tunaweza kukava au kumkumbatia mwanamke mwili mzima
6 Wengi tuna mitazamo ya kimahaba tukiwa na wenza wetu
7 Wanawake wengi wanapenda kupigwa bite love , kiss , na denda kutoka kwa mwaname mrefu huku mwanamke akiwa mfupi wastani
8 Wanawake wengi wanapenda kutizamwa kwa mwangalio wa chizi
 
Huo urefu kwanza inategemea umesimama na nani.....normally wanawake wengi ni wafupi so wanaume wengi wanakua wamewazidi...pia ni kituko kwa mwanaume kuwa na mwanamke uliyemzidi nusu ya urefu wake...wanaume warefu ni wahuni na wanadharau sana...wengi sio smart kichwani just fanya research ndogo utaona wanaume wengi warefu wanafanya michezo, music na vitu kama hivyo bt hawa wafupi wengi ni viongozi, wachumi, nk wanajuhudi sana hata kwenye kusaka hela tofauti na matall ...am sorry mimi nina cm 170 cjui kama ni mrefu au mfupi
 
Hahahahahahaa nilikua nipo kitaa kuna kadem nilikaomba namba kwa masiala kakaninyima kwa masiala akisema unataka namba alaf iweje aka mi naogopa
Ila Mchiz wa karib akasema mbn mm umenipa dem alimjibu wallah roho iliniuma aaaah nawe nikupeleke wapi
 
Hakuna mtu anapenda kuzaa mtoto mfupi hata kama yeye ni mfupi. Na kwa haraka haraka wanawake wengi hapa Tanzania si warefu sana, ni mikoa michache yenye mbegu ndefu, wengi ni wafupi na kwakuwa ukabila haupo mwingiliano wa jamii mbalimbali ni mkubwa. Hivyo basi ongezeko la watu wafupi ni rahisi kuongezeka.
Ndio, binafsi niko aware na mikoa ifuatayo ambayo no doubt huwa ina mbegu ndefu miaka nenda rudi:-
1. Mara
2. Shinyanga
3. Tabora
4. Arusha
5. Mwanza
 
Back
Top Bottom