Kuna siri gani upande wa wanyama pori? Tuambiane kama ni biashara ya mtu

fredymkanza

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
284
152
Nimeshangaa mtu anakutwa na meno 60 ya tembo na kucha za simba eti faini milioni 10 kwa hali hii kila mtu si ataona hii ni biashara nzuri ya kufanya?

Tujitafakari jamani. Hii nchi si ya Rais Magufuli peke yake mzee wa watu anapambana usiku na mchana huku wengine wanafanya yao huko mahakamani. Hebu fuatilieni sensa ya tembo walivyopungua inatia uchungu.

Anyway isije inaonekana nina maslahi huko, sheria gani ilitumika hapa kwa Mfilipino naomba kujua jamani.
 
Nimeshangaa Mtu anakutwa na meno 60 ya tembo na kucha za simba
Eti faini milioni 10
Kwa hali Hii kila mtu si ataona Hii ni biashara nzuri ya kufanya?
Tujitafakari jamani!
Hii nchi si ya Magufuli peke yake Mzee wa watu anapambana usiku na mchana huku wengine wanafanya yao huko mahakamani
Hebu fuatilieni sensa ya tembo walivyopungua inatia uchungu

Anyway isije inaonekana nina maslahi huko
Sheria gani ilitumika hapa kwa Mfilipino naomba kujua jamani
Hao ni wafadhili wa chama nyamaza
 
Usijifananishe wewe na wao na pia usiamini iwapo hata hizo pesa wametoa.....
 
Nimeshangaa mtu anakutwa na meno 60 ya tembo na kucha za simba eti faini milioni 10 kwa hali hii kila mtu si ataona hii ni biashara nzuri ya kufanya?

Tujitafakari jamani. Hii nchi si ya Rais Magufuli peke yake mzee wa watu anapambana usiku na mchana huku wengine wanafanya yao huko mahakamani. Hebu fuatilieni sensa ya tembo walivyopungua inatia uchungu.

Anyway isije inaonekana nina maslahi huko, sheria gani ilitumika hapa kwa Mfilipino naomba kujua jamani.
Wabunge wakairekebishe hii sheria, ina meno mafupi mno, haing'ati sawasawa
 
Back
Top Bottom