ZVI ZAMIR
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 662
- 1,562
Madirector na watunzi wa hizi story katika hizi movie, Constantine (2005), The Devil's Advocate(1997), kuna siri gani nzito walitaka kufikisha katika hadhira husika, au ni ujumbe gani walitaka kuuonesha katika jamii.
Kwa wale wadau walio fanikiwa kuziona hizi movie mbili na nyingine nyingi za mfano huu tafadhari kama unalolote la kuchangia.
Kwa wale wadau walio fanikiwa kuziona hizi movie mbili na nyingine nyingi za mfano huu tafadhari kama unalolote la kuchangia.