Kuna siri gani makabila haya kupenda kuishi maeneo haya ya Dar es salaam

Kama kuna ukweli katika hili aseee, wanajua wakulya kadhaa wanishi Mbagala asee
 
Kuna tabia ya kuitana, mtu akipata plot sehemu na kukawa bado kuna plot zingine lazima ataita wenzie wakae pale
 
Oysterbay, Masaki, Mikocheni, Mbezi beach, Kunduchi, Ununio, Mbweni - Wahaya
 
Haya mambo yapo sana, nakumbuka wakati nikiwa mdogo ukitaka kujiona uko kijijini kwetu wewe nenda Kinondoni Moscow.
 
Back
Top Bottom