Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,786
- 13,561
Wanaume ni wasafi wa asili
Hata kwenye tv show nyingi za nje kuangalia kwenye food network unakuta mwanaume ndiyo wanapikaHata...wale wanaopika kwa order. .unaenda hotel Kama zile Za kitalii unasubiria menu dadika 45...Huwa wanapika wanaume....KAMA YULE WA MASAPTA SAPTA..
Usafi , nguvu, wepesi , na utasha wa asiliKwahiyo sababu kubwa unataka kuniambia ni nguvu
Okey safi nakubaliana nawe, so tumuachie mwanamke atupikie nyumbani tu, huku kwingine watuachieUsafi , nguvu, wepesi , na utasha wa asili
Hata yule Jamaa wa tiss anayemtengeaga rais maji nyumban nayee anatengewaUtashangaa dingi Ni mpishi wa shule.lakini akirudi home anataka apikiwe.
Wanaume ni wasafi wa asili
Sisi hatunaga mpagilio wa vitu vizuriMbona huwa wanatuambiaga sisi ni wachafu, nyumbani wakipanga sisi tunavuruga
Mkuu sijasema wanawake wakipika kitakuwa kibaya, ila utakubaliana mimi sehemu nyingi za watu wengi (sio zote) wanaume ndo huhusika.Wapo wanaopewa tenda kwenye maharusi na ni wanawake hilo unasemaje, na chakula kinakua kitamu tu
Tatizo mwanamke atapewa jukumu la kupika kwenye sherehe akili yote iko kujipiga picha na kubandika Instagram na Facebook ili awatambie wenzake, akija kushituka chakula choye kimeungua.Alamsiki
Tembelea hotel nyingi utakuta ma chef wengi ni kina baba Hata hizi shughuli zetu za mtaani wapishi wengi wanaokodiwa kupika ni kina baba kina mama wanabaki kuwa waandaji wa vitu kama kukata nyanya n.k
Swali langu ni nini kilipelekea kuwa na utamaduni wa namna hii mbona kinyumbani nyumbani tunaona kinamama ndio wamekamatia sekta ya upishi vizuri, Inakuaje huko kwengine wanashindwa kuaminika na kuonekana?
Cooks ni wapishiUnamaana gani mkuu?
Sent using vidole vyangu!!
'Cockers ni majiko ya kupikia'.Cooks ni wapishi
Cockers ni majiko ya kupikia
Ukifatilia jikoni unakuta wapishi ni wanaume. Huyo mama yeye ni mtoa maelekezo na msimamizi.Mbona wakina mama wengi wanapewaga tenda za kupika kwenye masherehe na wanapika tena ni chakula cha watu wengi kama swala ni idadi, tafuta sababu ingine
Mimi naona ni kwasababu wanapika chakula cha watu wengi. Upishi wa chakula cha watu wengi unahitaji nguvu ndo maana wanaume wanaplay part hapo.
Cooks ni verb in present tense he/she/itCooks ni wapishi
Cockers ni majiko ya kupikia
itakuwa typing error'Cockers ni majiko ya kupikia'.
Cockers?kiingereza cha Tinde
Ninae jamaa yangu ni chef kwenye hotel ya kawaida tu siyo 5 lakin analipwa 1.5M nafkiri wa five-star wanakula mpunga mrefu zaidiSababu hiyo pia ni kazi kama kazi nyingine tu, tena hawa wapishi wakiume huwa wanalipwa vizuri sana wapo wanaolipwa mpaka 1milion kwa mwezi hasa kwenye hotel zenye nyota tano,pia ni wapo chapuchapu