Kuna siri gani kwa wahindi

Jamani kama tunaofanya kazi viwanda vya MO mbona jasho linatutoka? Mshahara ni laki unusu tena supervisor yaani shillings 150,000 kwa mwezi
 
Nashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanatokea nchi tofauti na tabia zao zinakuwa tofauti na zetu kutoka na mazingira waliotokea. Mfano mzuri wa karibu ni Kenya. Wakenya sio watu wa msaada ingawaje ni majirani zetu. Hii ni kutokana na mfumo wa maisha wa nchi yao. Wamejengwa katika system ya kujitegemea kwa asilimia 100, hakuna msaada. Ndiyo maana Kenya omba omba ni wachache mno. Sisi wabongo tuko tofauti, mfumo wetu wa maisha uko kimsaada saada sana na ndiyo maana omba omba wamezagaa barabarani.

Sasa nikirudi katika suala lako, utu gani unaozungumzia wewe? Kama hakuna maadili ya kazi yaliyovunjwa dhidi yako basi hakutakuwa na jambo la kulalamikia. Kama kuna jambo la kukiuka maadili ya kazi basi fuata sheria za labour. Mambo sasa hivi yamebadilika, kazi mbele utu baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo ni mengi siwezi kuorodhesha yote hapa, mfano mwaka juzi niliwahi kukatwa laki 2 katika mshahara wangu kisa nimetoka kazini saa 10 unusu jioni,
Mtu tuu kapiga simu kwa chief accountant kata mshahara wa fulani wakalima, nilisimama kidete wanipe fedha yangu na niliipata

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiingii akilini.

Kwanza umetaja muda wa kutoka hujasema ulitakiwa utoke sas ngapi. Pili unasema walikukata laki 2. Hizo laki mBikiulikatwa kwa sababu ipi kwa mshahara upi?

Kuna habari ni ngumu sana kuzielewa kwa sababu Watanzania ni waongo sana.
 
Wabongo na nyie muache chuki kwa Wahindi vinginevyo mtaendelea kurukishwa kichura chura.
Waafrika mna mambo ya hovyo sana hata wahindi wakirudi zao Bharat nyie mtaendelea kuteseka na kutesana.
Waafrika hamjui mnachokitaka na kwa upande wangu watu weusi ni wabaya na wajinga kuliko rangi zote.(sio wote)
Nimekulia Tanzania so naongea kitu ninachokijua 100%
Live long Tanzania
Live long Bharat.
Wahindi unao watetea ni wajinga Ukifanya nao kazi ni wasumbufu haijawahi kutokea hawajui kitu kila dakika wanasumbua Kuna mmoja nilikuwa nae kwenye kampuni yaani kila dakika analeta kalatasi nimsaidie kujaza hajui English hajui kiswahili siku wakija wakaguzi polisi alikuwa anapata tabu aisee anajificha kwenye mabox alikuwa ana roho mbaya nilikuwa naombea siku polisi wamkute dadeki zake.
 
Haiingii akilini.

Kwanza umetaja muda wa kutoka hujasema ulitakiwa utoke sas ngapi. Pili unasema walikukata laki 2. Hizo laki mBikiulikatwa kwa sababu ipi kwa mshahara upi?

Kuna habari ni ngumu sana kuzielewa kwa sababu Watanzania ni waongo sana.
Wewe mama mi naongea kitu ambacho kimenitokea, kama mimi ni muongo sawa haina shida,
Ila nipo nafanya maandalizi ya site mpya hapa
1551082490521.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli aisee niliacha kazi kutokana na ushirikina yaani nilikuwa kila nikienda job kichwa kinauma vibaya nikiludi home mzima
Wale ndo zao...eti dereva wa bosi, mmiliki wa kampuni kabisa hana hata kitanda mwaka wa nane huu yuko job, yaan kama msukule, walking dead

Wahindi wangaa aki vile

Kuna staff mmoja walikuwa hawamlipi mshahara karibia mwaka kisa eti mauzo yake yalimiss, alivyopata kaupenyo akapiga hela ndefu (150m), halafu akaacha kazi, hiyo hela hakufanyia la maana, sasa hivi ni kichaa pale posta, embassy hotel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom